Haya ni baadhi ya maeneo yanayo weza leta maafa makubwa sana, kwenye Mvua za Elinino, unaweza ongezea

Haya ni baadhi ya maeneo yanayo weza leta maafa makubwa sana, kwenye Mvua za Elinino, unaweza ongezea

Kuna mto kule Morogoro mto mkondoa, huwa una furika hata mvua usipokuwepo, sijui ita kuwa salama kiasi gani wakazi wa kilosa.
 
Elninyo wahuni wameweka mitego ya KUPIGA hela hawana lolote....Utasikia wametenga trilioni 4 kama mitigation plan ya elninyo.
 
1. Mto wa Mbu, hili eneo ni hatari na nusu, na kama kwenye mvua hizi zitakuwa sawa au zaidi ya zile za 1997 basi tujiandae na maafa.

Ziwa Manyara limejaa tope na sehemu pekee ya kumwaga maji itakuwa ni mto wa Mbu pale mjini, ukiachana na hilo kitalamupale Mto wa Mbu hapafai kuishi make pia water table iko juu sana.

2. Ziwa Babati, pale Babati mjijni panaweza geuzwa ziwa na lile ziwa linaweza mwaga maji yake Babati mjini na kuleta maafa makubwa sana, tukumbuke isha wahi tokea mafuriko makubwa sana Babati na nahisi watu walisha sahau hilo.

3. Janga la Mlima Hanang bado halijawa solved linaweza rud tena na kuleta kiama kingine pale.

4.Maji huwa hayasahau asili yake hata ipite miaka 1000, maeneo ambayo yalikuwa ni mabwawa ya asili, mikondo ya maji, tegemea kwamba maji yanaweza kurudi kudai eneo lao.
Mtoa mada ni mbulu wa MAGUGU
 
Wakazi wa Dar ambaokwa makusudi wqmeamua kujenga kwenye njia za asili za maji.Wajue tu maji huwa hayasahau njia zake yanazopita toka kuumbwa kwq dunia
 
Kwani si tumeambiwa Serikali imetenga Mabilioni kwa ajili ya EL Nino! Unatenga Budget Miezi michache kabla ya tukio, halafu unategemea uzuie maafa kwa kusafisha mitaro. Bladifakin.

Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu, kila mtu kwa sasa anajifunzia kunyoa.

Zimeshindwa kutufaa akili zetu, El Nino itakuja kutuonyesha madhara ya Ujinga wetu.

Tanzania bila rushwa, haiwezekani.

Tunazidiwa akili na panya Magawa professional aliyezaliwa na kukulia SUA
 
Back
Top Bottom