ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,412
- 3,043
Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!
Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;
👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.
👉🏽 Central polisi shimoni, Wanawake na wanaume wana share lockup, mambo ya ajabu kabisa haya.
👉🏽 Alihojiwa kuhusu kifo cha mtoto wa Magufuli, ambacho kisababisha mgongano ndani ya ndoa ya Magufuli, TISS walikuwa wanataka hiyo issue isijulikane
👉🏽 Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.
Hayo ni machache juu ya mambo mazito aliyoyaandika Kabendera kwenye kitabu chake..