Huvi kwanini wote ushahidi wenu ni mtu wa ndani, mtu wa karibu, mtu wa ikulu ila hamtaji majina, kazi zao, rekodi zao, ni watu wa aina gani, mazingira, maandishi ya wakati huo, video, picha ushahidi usio na shaka, motive, content, context, all collaborative evidence to go with accusations of such serious nature? Watu waandika vitu
willy-nilly.
Kuna huyu Remigius Celestine Mjumbe wa Secretarieti CHADEMA Makao Makuu anamtuhumu Mbowe kwa mambo mengi huwa anaweka ushahidi usio na shaka, anataja majina, sehemu, motive, context and content ana ushahidi wa documents maandishi na wengine waliokuwepo anawataja na anawaomba mkawaulize. Unaweza kujiridhisha kama madai yake ni ya kweli au uongo. Na nyie mfanye hivyo.