Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Mshukuru sana hakuna upinzani imara, lakini kiukweli kabisa hizi sarakasi zenu dhidi ya kipenzi cha wananchi JPM, hasira zetu zingeiondoa CCM.
Wananchi wanataka kuona maendeleo sio blah blah na sababu nyingi, in 6yrs mwamba aliikimbiza hii nchi ikakimbia kila mahala.
Leo hii rushwa, wizi, kutowajibika vimetamalaki halafu mnakuja na hizi ngonjera.
Njia pekee ya kufuta legacy ya JPM ni kufanya zaidi yake, kuleta maendeleo zaidi na zaidi.