Haya ni baadhi ya mambo mengine yaliyomo kwenye kitabu cha Erick Kabendera

Mwisho wa siku, mmeivuruga nchi, mmeuza maliasili za watanganyika na sasa HAMNA mtakachowaambia waumini wa sera za Magu ambao ndio wengi na wasio wanufaika wa MIKOPO ya nchi iendayo chizimkazi kwa gharama za vizazi vyao.

Hakikisheni mnawachanganya kweli kweli ili mfanikiwe hiyo October 2025.

1. Magufuli
2. Lisu vs Mbowe
3. Mapambio
4. Chawa

Ndo sera zenu kuhakikisha MITANO TENA inafanikiwa sio?

Bila hivyo, mtaulizwa, mwamba alifanya, nyie mmeshindwa nini?
Hii post imebarikiwa itabaki milele vizazi kwa vizazi!
 
Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!

Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;

👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.

👉🏽 Central polisi shimoni, Wanawake na wanaume wana share lockup, mambo ya ajabu kabisa haya.

👉🏽 Alihojiwa kuhusu kifo cha mtoto wa Magufuli, ambacho kisababisha mgongano ndani ya ndoa ya Magufuli, TISS walikuwa wanataka hiyo issue isijulikane

👉🏽 Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.

Hayo ni machache juu ya mambo mazito aliyoyaandika Kabendera kwenye kitabu chake..
Umbea mtupu, huyu Kabendera inaeleweka kwanini anao mtazamo hasi kwa awamu ya JPM, baada ya mateso aliyokutana nayo asingeweza kuwa na msimamo usiolalia popote kuhusiana na urais mzima wa JPM.
 
Mwisho wa siku, mmeivuruga nchi, mmeuza maliasili za watanganyika na sasa HAMNA mtakachowaambia waumini wa sera za Magu ambao ndio wengi na wasio wanufaika wa MIKOPO ya nchi iendayo chizimkazi kwa gharama za vizazi vyao.

Hakikisheni mnawachanganya kweli kweli ili mfanikiwe hiyo October 2025.

1. Magufuli
2. Lisu vs Mbowe
3. Mapambio
4. Chawa

Ndo sera zenu kuhakikisha MITANO TENA inafanikiwa sio?

Bila hivyo, mtaulizwa, mwamba alifanya, nyie mmeshindwa nini?
Usiwe chawa wa JPM mpaka ukapoteza uwezo wa kufikiria wewe kama wewe. Hakuna mradi aliouanzisha JPM ambao Samia hataumalizia, ahadi zote za 2025 zinamaliziwa na mengine mengi yanaendelea kufanyika muda huu.
 
Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!

Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;

👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.

👉🏽 Central polisi shimoni, Wanawake na wanaume wana share lockup, mambo ya ajabu kabisa haya.

👉🏽 Alihojiwa kuhusu kifo cha mtoto wa Magufuli, ambacho kisababisha mgongano ndani ya ndoa ya Magufuli, TISS walikuwa wanataka hiyo issue isijulikane

👉🏽 Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.

Hayo ni machache juu ya mambo mazito aliyoyaandika Kabendera kwenye kitabu chake..
Ya juu kabisa ni kweli jamaa alikuwa anapagawa sana na lile JICHO Lembuku!!! na alijaribu kutumia nguvu akagonga Mwamba.
 
magufuli alikua silent mafia.

kuna clip inaonekana anajaza bullet kwenye bastola anajaribu kuikoki anaipachika kiunoni anaisiliba na koti anacheka tu
Hiyo picha si ndio hiyo ipo kwenye cover la kitabu cha Kabendera? Kama kumbukumbu zetu zipo sawa, nadhani hiyo picha ilipigwa siku ile ambayo aliyekua RC wa Dar bwana Makonda kutoa amri kwamba wamiliki wa silaha wote waende kukaguliwa I think pale central police, ndio hi picha ilipigwa baada ya No 1 kutii amri ya mwenye mkoa wake
 
Ya juu kabisa ni kweli jamaa alikuwa anapagawa sana na lile JICHO Lembuku!!! na alijaribu kutumia nguvu akagonga Mwamba.
Kwa hiyo unataka kutuambiaje? Hizi tuhuma nzito sana, ila ile ya Jokate kale kajamaa kakafukuzwa kazi mkutanoni kisa kumfuata fuata jokate- hahaha

Jiwe alikuwa na wivu wa balaaa.
 
Hizi ni salamu kwa Samia Suluhu Hassan ajue naye anajiandikia kitabu cha kwake na tayari wino unaotumika ni mwekundu,kazi kwake. Hawa panya wake kina Lucas Mwashambwa hawataonekana tena wakati kikianza kusomwa na kujadiliwa.
Kisije kuwa na maneno yafuatayo:
1. DP World
2. Utekaji
3. Uuaji
3. Deal na Adani
5. U**gaji
6. Vote rigging plus
Other corrupt deals
 
Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!

Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;

👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.

👉🏽 Central polisi shimoni, Wanawake na wanaume wana share lockup, mambo ya ajabu kabisa haya.

👉🏽 Alihojiwa kuhusu kifo cha mtoto wa Magufuli, ambacho kisababisha mgongano ndani ya ndoa ya Magufuli, TISS walikuwa wanataka hiyo issue isijulikane

👉🏽 Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.

Hayo ni machache juu ya mambo mazito aliyoyaandika Kabendera kwenye kitabu chake..
Ya kuingilia ndoa ya watu hayamo?
 
Kwa hiyo anataka kusema kwamba hayati JPM alitaka kumbaka SSH? Is this journalist really serious with his stupidity textbook sponsored by the haters?

Nahisi huyu Kabendera hayuko sawa kiakili!!!!

Kwa hiyo anataka kutuambia rais SSH ndiye kamtuma amwandike vibaya JPM?
"....Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu...."

Huyu mwandishi ni kumshitaki mpaka akome na ukoo wake wote.
 
Mwisho wa siku, mmeivuruga nchi, mmeuza maliasili za watanganyika na sasa HAMNA mtakachowaambia waumini wa sera za Magu ambao ndio wengi na wasio wanufaika wa MIKOPO ya nchi iendayo chizimkazi kwa gharama za vizazi vyao.

Hakikisheni mnawachanganya kweli kweli ili mfanikiwe hiyo October 2025.

1. Magufuli
2. Lisu vs Mbowe
3. Mapambio
4. Chawa

Ndo sera zenu kuhakikisha MITANO TENA inafanikiwa sio?

Bila hivyo, mtaulizwa, mwamba alifanya, nyie mmeshindwa nini?
Nchi Iko vizuri kuliko wakati wote.Sema una mawazo mgando,umemezwa na usukuma na mfumo dume.Leo mimi mtumishi nalipya stahili zangu kwa wakati kitu ambacho kwa magu sikulipwa,hapa nilipo kituo cha afya kimeanza kufanya kazi tangu mwaka jana.Kabla tulitibiwa katika hospital ya mission ambapo ukiumwa malaria ukalazwa kwa siku moja tu gharama zaidi ya laki na nusu.Saizi unatibiwa kwa elfu kumi tu.Hiki kituo kimejengwa katika awamu ya huyu huyu unayemsema nchi imemshinda!Tena vimejengwa vituo vya afya zaidi ya 200 nchi nzima katika awamu ya huyu unayedai nchi imemshinda.Huyo unayedai aliiweza nchi alifanya nini kikubwa zaidi hadi ubeze vitu vikubwa kuliko vya awamu zote vinavyoonekana katika awamu hii?Huyo magu alikuwa anatawala wapi hadi mimi nisione mazuri yake aliyoyafanya kumzidi huyu mama!!Magu alikuwa motivation speaker katika maendeleo,na watu wakapenda maneno kuliko vitendo.Ila tukiondoa chuki za kike;awamu zilizofanya maendeleo ya vitendo zaidi ni mbili tu,ya kikwete na hii ya mama.Lkn kwa kuwamotivate watanzania wajione wako vizuri kwakweli magu anaongoza.
 
Kwa hiyo unataka kutuambiaje? Hizi tuhuma nzito sana, ila ile ya Jokate kale kajamaa kakafukuzwa kazi mkutanoni kisa kumfuata fuata jokate- hahaha

Jiwe alikuwa na wivu wa balaaa.
Fimbo ya mussa ilikuwa inatembea vibaya sana!!!
Unayakumbuka ya Daud na Betsheba wa Uria ??? amabaye alikuwa uwanja wa vita kwenye biblia?? Naye aliyafanya kwa WITE mmoja ambaye mwenza alikuwa uwanja wa VITA wa kaainchi ambalo kalipigana na Marekani lakini kadogo sana, na nchi kubwa ambayo sasa sasa wabongo wengi huenda kununua vitu nguo,saa 🤣😀🤣😀....... Mwamba alikuwa nouma
 
Back
Top Bottom