komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Zanzibar and Zanzibar's kwanza, mengine baadae 2031Mshukuru sana hakuna upinzani imara, lakini kiukweli kabisa hizi sarakasi zenu dhidi ya kipenzi cha wananchi JPM, hasira zetu zingeiondoa CCM.
Wananchi wanataka kuona maendeleo sio blah blah na sababu nyingi, in 6yrs mwamba aliikimbiza hii nchi ikakimbia kila mahala.
Leo hii rushwa, wizi, kutowajibika vimetamalaki halafu mnakuja na hizi ngonjera.
Njia pekee ya kufuta legacy ya JPM ni kufanya zaidi yake, kuleta maendeleo zaidi na zaidi.
Nakukatalia. Hawezi kuwataja, reliable informers. Sio salama kwao. Mbowe sio serikali. Anaweza kuchafuliwa vyovyote.Huvi kwanini wote ushahidi wenu ni mtu wa ndani, mtu wa karibu, mtu wa ikulu ila hamtaji majina, kazi zao, rekodi zao, ni watu wa aina gani, mazingira, maandishi ya wakati huo, video, picha ushahidi usio na shaka, motive, content, context, all collaborative evidence to go with accusations of such serious nature? Watu waandika vitu
willy-nilly.
Kuna huyu Remigius Celestine Mjumbe wa Secretarieti CHADEMA Makao Makuu anamtuhumu Mbowe kwa mambo mengi huwa anaweka ushahidi usio na shaka, anataja majina, sehemu, motive, context and content ana ushahidi wa documents maandishi na wengine waliokuwepo anawataja na anawaomba mkawaulize. Unaweza kujiridhisha kama madai yake ni ya kweli au uongo. Na nyie mfanye hivyo.
Hatupaswi kumsema vibaya Magufuli ila chama kilicho mlea nakumpa nafasi sio hivyo tu katiba isiyo na meno nadhani JK alitaka tukumbuke wosia wake yakuwa atakuja mtu kwa katiba hii atawanyonyoa kwa moto. Je tunaendelea na hii katiba or we change?Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!
Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;
👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.
👉🏽 Central polisi shimoni, Wanawake na wanaume wana share lockup, mambo ya ajabu kabisa haya.
👉🏽 Alihojiwa kuhusu kifo cha mtoto wa Magufuli, ambacho kisababisha mgongano ndani ya ndoa ya Magufuli, TISS walikuwa wanataka hiyo issue isijulikane
👉🏽 Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.
Hayo ni machache juu ya mambo mazito aliyoyaandika Kabendera kwenye kitabu chake..
Makamu mbona anakaa mbali Sana,pale karibu na Bakharesa resident.Walikuwa wanakaa mtaa au nyumba moja
Aisee!!!!!........da!!!!!! , kama TALEBAN!!Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!
Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;
👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.
👉🏽 Central polisi shimoni, Wanawake na wanaume wana share lockup, mambo ya ajabu kabisa haya.
👉🏽 Alihojiwa kuhusu kifo cha mtoto wa Magufuli, ambacho kisababisha mgongano ndani ya ndoa ya Magufuli, TISS walikuwa wanataka hiyo issue isijulikane
👉🏽 Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.
Hayo ni machache juu ya mambo mazito aliyoyaandika Kabendera kwenye kitabu chake..
sasa hapo kuna umbali gani? si anaendesha gari tu!!Makamu mbona anakaa mbali Sana,pale karibu na Bakharesa resident.
Ndio atoke na pajama,a drive gari yeye mpaka pale?sasa hapo kuna umbali gani? si anaendesha gari tu!!
He was a butcher. Ruthless butcher.
Bima ya afya 2003?Uongo mwingine bana,yani kweli mtoto wa waziri mwandamizi kabisa serikalini akose Bima ya afya?licha ya baba yake kuwa waziri lkn pia mama ake alikua mwalimu wa shule ya serikali angewezaje kukosa bima ya afya?
Huyu binti alifia India sasa huko mwananyamala labda ya Mumbai.Hicho kifo kilitokea marehemu akiwa Waziri wa Ujenzi, akiwa amehama nyumbani kwa zaidi ya siku 14, akiishi kwa kimada. Akagoma kugharamia matibabu ya mtoto wake, mama akaamua kumpeleka Mwananyamala kwa sababu hakuwa na pesa ya kumpeleka mwanae hospitali ambazo zingehitaji malipo. Mpaka mtoto anafariki, baba yupo kwa kimada. Hali hiyo ndiyo iliyomfanya mama kutokujihusisha na hayati wakati wote. Akagoma kuhudhuria hata sherehe ya uapisho wake. Akatumwa Salma kumbembeleza, akakataa; akatumwa Anna, akakataa; mwishoni akatumwa Maria akamkatalia. Maria akasimama, akachukua mkongoja, akapiga magoti kumbembeleza, ndipo aliponyanyuka mapema na kumbembeleza Maria asipige magoti kwake kwa sababu yeye ni mdogo sana, ndipo Maria akamwambia kuwa kama hataki ampigie magoti, aende kwenye sherehe ya uapisho, mama akakubali.
NdiyoHicho kifo cha mtoto ni kabla ya urais?