Jamii JAMII-ASM we m'baya...asante sana maana alishanibeba mzobemzobe kumbe mwongo..Edo Kumwembe nae facebook yupo eti ni mpemba ndugu yetu twende tukamchukue,nimemshangaa sana Edo.Unaendeleza uongo..hii hapa instagram a/c ya kakayake..anaitwa Dwain.
@dwainemay83 • Instagram photos and videos
wewe ni muongo sana. Wapemba hawafiki laki mbili UK ni wasomali idadi yao UK ndio laki mbili na ndio nch ina idadi ya wasomali wengi ulaya wakijikita mji wa Manchester. Ya pili kwa wasomali wengi ulaya ni Sweden 50.000. Zikifwatiwa na finlend Norway na Denmark(homu) wana wasomali 15.000. Hiz data si zangu ni dailymail online UK the most read online newspaper in the world. Unamdanganya nani we weweweeeWazungu waache wampe majina hata 50 lkn bado asili itabaki pale pale. Hapa hatukuongea kuhusu wapi amezaliwa, sasa in uk kuna wapemba wasiopungua 200,000 hao ni kutoka waliokwenda miaka ya 90 kipindi hicho halikuwa lazima upate visa.
Jamii JAMII-ASM we m'baya...asante sana maana alishanibeba mzobemzobe kumbe mwongo..Edo Kumwembe nae facebook yupo eti ni mpemba ndugu yetu twende tukamchukue,nimemshangaa sana Edo.
Hahahaha kweli kaka kama ni hivyo basi hata Daniel Sturrdge na Rahim Sterling wangekuwa wa kisiwani,jamaa kaahidi kutuletea details za mwengine yupo Chelsea namsubiria nione kama atabahatisha.Tanzania kwa sasa bado tuendelee kujivunia Samatta tu huko bado sio level zetu.Mkuu usilaumu sana, waliangalia shepu ya kile kichwa cha yule dogo wakahitimisha kuwa ni mpemba
Hahahaha kweli kaka kama ni hivyo basi hata Daniel Sturrdge na Rahim Sterling wangekuwa wa kisiwani,jamaa kaahidi kutuletea details za mwengine yupo Chelsea namsubiria nione kama atabahatisha.Tanzania kwa sasa bado tuendelee kujivunia Samatta tu huko bado sio level zetu.Mkuu usilaumu sana, waliangalia shepu ya kile kichwa cha yule dogo wakahitimisha kuwa ni mpemba
Yawezekana ikawa kweli ni wasomali wapo wengi kwa maana hata hao wapemba wengi wao walisajiliwa kama wasomali nikiwemo mimi mwenyewe.wewe ni muongo sana. Wapemba hawafiki laki mbili UK ni wasomali idadi yao UK ndio laki mbili na ndio nch ina idadi ya wasomali wengi ulaya wakijikita mji wa Manchester. Ya pili kwa wasomali wengi ulaya ni Sweden 50.000. Zikifwatiwa na finlend Norway na Denmark(homu) wana wasomali 15.000. Hiz data si zangu ni dailymail online UK the most read online newspaper in the world. Unamdanganya nani we weweweee
wewe ni muongo sana. Wapemba hawafiki laki mbili UK ni wasomali idadi yao UK ndio laki mbili na ndio nch ina idadi ya wasomali wengi ulaya wakijikita mji wa Manchester. Ya pili kwa wasomali wengi ulaya ni Sweden 50.000. Zikifwatiwa na finlend Norway na Denmark(homu) wana wasomali 15.000. Hiz data si zangu ni dailymail online UK the most read online newspaper in the world. Unamdanganya nani we weweweee
Utaskia nao itabidi watumbuliwe hii ndo TanzaniaAiseee..wameukana uraia wa Tanganyika?
Mimi hapa sijaandika habari ya Nditi hebu tulips ubongo, nimeandika kuwa natafuta taarifa za Mpemba mwengine anyechezea Arsenal ndogo Niziweke hapa.
Visa UK ni lazima, tena in 90s haikua ngumu kama ilivyo sasa! Unaenda ubalozini pale na uzushi wako unapewa mara moja!Wazungu waache wampe majina hata 50 lkn bado asili itabaki pale pale. Hapa hatukuongea kuhusu wapi amezaliwa, sasa in uk kuna wapemba wasiopungua 200,000 hao ni kutoka waliokwenda miaka ya 90 kipindi hicho halikuwa lazima upate visa.
Ndugu umetumia "laudhiya kibaguzi" eti HAYA machotara... Sasa nakuuliza wewe bado hujatupiwa ndizi au mkungu wa nziziii..!????!!Mimi hapa sijaandika habari ya Nditi hebu tulips ubongo, nimeandika kuwa natafuta taarifa za Mpemba mwengine anyechezea Arsenal ndogo Niziweke hapa.
kwani Pemba ni Tanganyika?Aiseee..wameukana uraia wa Tanganyika?
Ndugu umetumia "laudhiya kibaguzi" eti HAYA machotara... Sasa nakuuliza wewe bado hujatupiwa ndizi au mkungu wa nziziii..!????!!
Visa UK ni lazima, tena in 90s haikua ngumu kama ilivyo sasa! Unaenda ubalozini pale na uzushi wako unapewa mara moja!