Haya ni Machotara ya Kipemba wanaocheza Ulaya

Wazungu waache wampe majina hata 50 lkn bado asili itabaki pale pale. Hapa hatukuongea kuhusu wapi amezaliwa, sasa in uk kuna wapemba wasiopungua 200,000 hao ni kutoka waliokwenda miaka ya 90 kipindi hicho halikuwa lazima upate visa.
wewe ni muongo sana. Wapemba hawafiki laki mbili UK ni wasomali idadi yao UK ndio laki mbili na ndio nch ina idadi ya wasomali wengi ulaya wakijikita mji wa Manchester. Ya pili kwa wasomali wengi ulaya ni Sweden 50.000. Zikifwatiwa na finlend Norway na Denmark(homu) wana wasomali 15.000. Hiz data si zangu ni dailymail online UK the most read online newspaper in the world. Unamdanganya nani we weweweee
 
Mkuu usilaumu sana, waliangalia shepu ya kile kichwa cha yule dogo wakahitimisha kuwa ni mpemba
Hahahaha kweli kaka kama ni hivyo basi hata Daniel Sturrdge na Rahim Sterling wangekuwa wa kisiwani,jamaa kaahidi kutuletea details za mwengine yupo Chelsea namsubiria nione kama atabahatisha.Tanzania kwa sasa bado tuendelee kujivunia Samatta tu huko bado sio level zetu.
 
Hasheem amejiua mwenyewe kwa laana za watu aliokuwa akiwatandika vibao,na nyodo
 
Ya
wewe ni muongo sana. Wapemba hawafiki laki mbili UK ni wasomali idadi yao UK ndio laki mbili na ndio nch ina idadi ya wasomali wengi ulaya wakijikita mji wa Manchester. Ya pili kwa wasomali wengi ulaya ni Sweden 50.000. Zikifwatiwa na finlend Norway na Denmark(homu) wana wasomali 15.000. Hiz data si zangu ni dailymail online UK the most read online newspaper in the world. Unamdanganya nani we weweweee
Yawezekana ikawa kweli ni wasomali wapo wengi kwa maana hata hao wapemba wengi wao walisajiliwa kama wasomali nikiwemo mimi mwenyewe.
 
wewe ni muongo sana. Wapemba hawafiki laki mbili UK ni wasomali idadi yao UK ndio laki mbili na ndio nch ina idadi ya wasomali wengi ulaya wakijikita mji wa Manchester. Ya pili kwa wasomali wengi ulaya ni Sweden 50.000. Zikifwatiwa na finlend Norway na Denmark(homu) wana wasomali 15.000. Hiz data si zangu ni dailymail online UK the most read online newspaper in the world. Unamdanganya nani we weweweee

utaendelea kubisha mpk dunia itakwisha, wapemba zaidi ya 70,000 wamesajiliwa kama wasomali uk, Na ili ujue Kama wapemba wako wengi huko, nadhani utakua hujabahatika kufika Pemba, ninakwambia kila nyumba 3 nyumba moja inatoa watu 5 wako uk.
Au unaweza utakuta Familia nzima wako Uk, haya mambo ya kusafiri kwa Kabila la wapemba Hawakua Na Hofu nalo.
 
Mbona hata Chacharito ni mtanzania na kwao ni tarime mbona hakuna anae ringa? Wapemba bana!

Kwani hapa tumeandika mambo ya kuringiana au tumeweka hii Ili Na wengine wachangie? Mambo ya kuringa ni ya upande mwengine.
 
Umeingizwa king na wewe umeingia..nani kakwambia Nditi ni mpemba?

Mimi hapa sijaandika habari ya Nditi hebu tulips ubongo, nimeandika kuwa natafuta taarifa za Mpemba mwengine anyechezea Arsenal ndogo Niziweke hapa.
 
una hoja ya msingi ila Uwe unatulia na kufanya utafiti kwanza..kweli wapemba wengi wapo ulaya wanacheza soka..hata islam ferouz wa chelse ni mpemba aliyejilipua kama msomali..wapo wengi
 
Wazungu waache wampe majina hata 50 lkn bado asili itabaki pale pale. Hapa hatukuongea kuhusu wapi amezaliwa, sasa in uk kuna wapemba wasiopungua 200,000 hao ni kutoka waliokwenda miaka ya 90 kipindi hicho halikuwa lazima upate visa.
Visa UK ni lazima, tena in 90s haikua ngumu kama ilivyo sasa! Unaenda ubalozini pale na uzushi wako unapewa mara moja!
 
Mimi hapa sijaandika habari ya Nditi hebu tulips ubongo, nimeandika kuwa natafuta taarifa za Mpemba mwengine anyechezea Arsenal ndogo Niziweke hapa.
Ndugu umetumia "laudhiya kibaguzi" eti HAYA machotara... Sasa nakuuliza wewe bado hujatupiwa ndizi au mkungu wa nziziii..!????!!
 
Kwanza niseme Sanahani Kama nitakua nimekukwaza, lkn hii lugha saivi sana Mjini Na humu jf imejaa, ni rahisi kueleweka.

Na kutupiwa ndizi mm bado sijafikia huko
.
 
Visa UK ni lazima, tena in 90s haikua ngumu kama ilivyo sasa! Unaenda ubalozini pale na uzushi wako unapewa mara moja!

Nadhani Itakuwa ulikua ama miaka hiyo ulikua hujazaliwa au unanyonya, aka uko nyumba Tuu, waulize waliwahi kusafiri miaka hiyo tena ulitakiwa ufanye utafiti Kabla ya kuandika.
 
Back
Top Bottom