DISGUISE16
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 372
- 260
Nilisafiri mimi mwenyewe 1991 na nilienda kuchukua visa ubalozini! Sikudandia maroli ya kabichi nduguNadhani Itakuwa ulikua ama miaka hiyo ulikua hujazaliwa au unanyonya, aka uku nyumba Tuu, waulize waliwahi kusafiri miaka hiyo tena ulitakiwa ufanye utafiti Kabla ya kuandika.
wangekulia zanzibar saizi wangekuwa vilaza wakutupwa.
mkuu wewe ni muungwana na mstaarabu...hivyo usichukuliwe na wengi!1 wewe weka personality yako kama wewe mwenyewe.Kwanza niseme Sanahani Kama nitakua nimekukwaza, lkn hii lugha saivi sana Mjini Na humu jf imejaa, ni rahisi kueleweka.
Na kutupiwa ndizi mm bado sijafikia huko
.
Mkuu labla kije kizazi kingine tofauti na chetu hapo bongo bhana hata kama una kipaji kitauliwa tu kwa fitna Hasheem Thabit yupo wapi? Samatta tu tumebaki nae
Mkuu wewe ni muongo wa kimataifa[emoji23]Ondosha uchafu wako huu, umeuokata wapi?
Una akili timamu kweli? Acha kupotosha watu..Ondosha uchafu wako huu, umeuokata wapi?
Hawa ndio wale viazi wameanza kutumia social medi juzi juzi, sasa kila kitu anachokikuta yeye anameza hajui jokes wala nini.. Edo akisema kitu basi yeye kameza .. Na hapokei ushauri.Rashford sio mpemba wala hana asili ya pemba, Rashford Kazaliwa Manchester na kakulia hapo hapo, wewe umekwenda kusoma joke's za Eddo kumwembe ukazibeba jumla jumla bila kujua anafanya joke's,
Imebidi nije kutoa ushuhuda kwa hili,nimeishi Zanzibar miaka kibao nikifanya kazi huko. Mimi sikufika Pemba lakini Ugunja kila familia, narudia kila familia au ukoo utakuta mmoja ama wanafamilia wawili wako Ulaya ama Uarabuni,mwezi mtukufu wa ramadhani unapokalibia ndipo hao jamaa walioko Ulaya na Uarabuni hutuma mahitaji kwa ndugu zao ikiwemo pesa na nguo kwa wingi sana na ndiyo sababu utakuta Wazanzibar wanatembelea gari za bei mbaya huku wakiwa hawana chanzo cha kipato tofauti na kuuza kahawa,kashata na bofulo. Ndugu mimi naamini unachokisema hapa kina ukweli flani ila amini kuna watu jamii forum ni wapuuzi sana kwa sababu tayari wameshaigiza ubaguzi kwenu Wapemba tofauti na ulivyoposti. Nakumbuka mimi kuna Wazanzibar wengi sana wako Australia walikimbia 2001 kwa kisingizio cha machafuko ya siasa kule Pemba na walikuwa wanachukua picha tu za nyumba ikiwa imechomwa moto na wanakwea pipa huko Mombasa Kenya. Narudia tena kama kuna watu wanaongoza kuwa nchi za ng'ambo hapa Tanzania basi ni Wazanzibar. Mwisho nawakumbisha wakati mtangazaji wa BBC akiwafanyia interview watanzania wanaoishi Uingereza (wakifanya kazi ya saloon) kwa kuwahudumia huduma ya kunyoa wachezaji wa Leicester City wengi wao walikuwa na asili ya Mombasa/Coastal area includes Zanzibar. South huku kuna wasukuma waliingia kwa gia ya wakimbizi wa Sudan Kusini lkn ukweli ni wenyeji wa Maswa Shinyanga (Hivyo Zuma anaamini ana raia wa Sudani kumbe wasukuma kama ulivyosema Wapemba kujiandikisha ni Wasomali). Mwisho nyie mnaobishi kuna kitu nilijifunza, Watanzania bara wengi wao hawapendi kwenda Zanzibar kufanya kazi tofauti na watu wa kanda ya Ziwa (kihistoria) ambao wengi huzamia huko kwenda kulima na kazi zingine ngumu kama kulisha ng'ombe japo kwa sasa wamepunguza sana. Hivyo hawafahamu lolote kuhusu Zanzibar. Kuna supplier mmoja hapo Breeze Beach Club Bwejuu Zanzibar anaitwa Omary na rafiki yake Ame,ndugu zao wako na wameoa Australia tangu 2002 na wanatuma tu misaada mbalimbali. Hivyo naamini ulichoandika kina ukweli sana hata mimi huku South kama nikizaa siwezi kuhangaika kumpatia uraia wa Tanzania mtoto wangu labda kama Magufuli atabaki miaka 50 madarakani maana analeta matumaini japo ya muda mrefu nikiwa nishajifia.utaendelea kubisha mpk dunia itakwisha, wapemba zaidi ya 70,000 wamesajiliwa kama wasomali uk, Na ili ujue Kama wapemba wako wengi huko, nadhani utakua hujabahatika kufika Pemba, ninakwambia kila nyumba 3 nyumba moja inatoa watu 5 wako uk.
Au unaweza utakuta Familia nzima wako Uk, haya mambo ya kusafiri kwa Kabila la wapemba Hawakua Na Hofu nalo.
Wangebaguliwa hadi basi. Ni rahisi "chotara" kupata haki stahili ugenini kuliko nyumbani Zanzibar. Bisha.wangekulia zanzibar saizi wangekuwa vilaza wakutupwa.