Mercenary Army
JF-Expert Member
- Jun 2, 2017
- 296
- 689
Kwa ushahidi zaidi napost video za hayo madini,ushauri wenu wakuu
Iron SulphideKwa ushahidi zaidi napost video za hayo madini,ushauri wenu wakuu
Mkuu shukran sana kwa mchango,,vp Yana thamani yoyote?Iron Sulphide
USD 29/ Metric tonneMkuu shukran sana kwa mchango,,vp Yana thamani yoyote?
Yametoka MereraniMaeneo gani hapo
Mkuu ni Tanzanite hii😀?ili nianze shereheUmasikini bye bye
DuuhUSD 29/ Metric tonne
mbona umeshika foili za kuwekea chipsKwa ushahidi zaidi napost video za hayo madini,ushauri wenu wakuu
Pyrite (Iron Sulfide )/ Ulanga-Kwa ushahidi zaidi napost video za hayo madini,ushauri wenu wakuu
😁 nmekutumia na namba yangu in case hauna marafikiMkuu ni Tanzanite hii😀?ili nianze sherehe
🤣🤣Mkuu wanasema et fools gold au iron sulfide,hayana hela kabisa😁 nmekutumia na namba yangu in case hauna marafiki
Tsh 60,000 kwa tani moja🤣🤣Mkuu wanasema et fools gold au iron sulfide,hayana hela kabisa