Haya ni madini gani? Au ni mawe tu ya kawaida maana yametoka Mererani

Mercenary Army

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
296
Reaction score
689
Kwa ushahidi zaidi napost video za hayo madini,ushauri wenu wakuu

Your browser is not able to display this video.
 
Hayo madude ni kwere tu hayana faida yeyote...

Mara ya kwanza niliyaona kwenye maonesho ya madini viwanja vya Themi miaka hiyo ya zamani wakati nasoma chuga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…