Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
NiandAlie mkataba mm nikuletee hayo. Kama hiyo ndo bei yakohayo madini ya thamani sana naomba niuzie kwa USD $ 120 per 1 gm nakufata pm yafiche wakiyaona watu ni hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]Dah! Mo Dewji kisha pata mpinzani kwenye list ya matajiri Tanzania,
😁😁😁Hiyo ni orange tanzanite. Kijiwe kama hicho hukosi Bil.3 ya fasta.
Mwamba ushatusua maisha. Kama umeajiriwa mtumie Boss wako msg ya kumtukana maana wewe sasa bilionea😂😂
Hayo mawe ukiyaona mara nyingi hapo chini kuna dhahabu.
Nadhani formation of gold either inapitia hapo then ndo inakuwa gold .
Mchimbaji mstaafu.
Na madesa hugawi tena, umeahamia huku?😀😀🙌Niwe chawa wako kaka
Habari naomba mawasiliano yako Kuna kitu nataka msaadaAsante mkuu kwa changizo lako, kwenye post no. #14 nimejaribu kumuelimisha. Inaelekea hana elimu ya miamba ambayo hufundishwa kuanzia form one kwa mitaala yetu nchini.
Ila JfHiyo ni orange tanzanite. Kijiwe kama hicho hukosi Bil.3 ya fasta.
Mwamba ushatusua maisha. Kama umeajiriwa mtumie Boss wako msg ya kumtukana maana wewe sasa bilionea😂😂
Sijui ushamba Kumtumia PM sijui na mtu akintumia sms nikireply inagoma SEMA nimecomment hapo juu shida yenyewe nikumtafutia dogo course ya kuisoma kuhusu madiniNjoo PM mkuu.