Haya ni madini ya aina gani?

Haya ni madini ya aina gani?

hayo madini ya thamani sana naomba niuzie kwa USD $ 120 per 1 gm nakufata pm yafiche wakiyaona watu ni hatari sana
 
Hiyo ni orange tanzanite. Kijiwe kama hicho hukosi Bil.3 ya fasta.

Mwamba ushatusua maisha. Kama umeajiriwa mtumie Boss wako msg ya kumtukana maana wewe sasa bilionea😂😂
😁😁😁
 
Hayo mawe ukiyaona mara nyingi hapo chini kuna dhahabu.
Nadhani formation of gold either inapitia hapo then ndo inakuwa gold .
Mchimbaji mstaafu.

Eti formation ya gold inapitia hapo then inakuwa gold[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kijiolojia umechanganya diesel na petroli
 
Asante mkuu kwa changizo lako, kwenye post no. #14 nimejaribu kumuelimisha. Inaelekea hana elimu ya miamba ambayo hufundishwa kuanzia form one kwa mitaala yetu nchini.
Habari naomba mawasiliano yako Kuna kitu nataka msaada
 
Wanajamvi msaada plz nna ndugu yangu anataka kusoma kuhusu madini lakini hajui achague course gani Kati ya hizi.,
 

Attachments

  • Screenshot_20230930-193506_1.jpg
    Screenshot_20230930-193506_1.jpg
    42 KB · Views: 3
Sijui ushamba Kumtumia PM sijui na mtu akintumia sms nikireply inagoma SEMA nimecomment hapo juu shida yenyewe nikumtafutia dogo course ya kuisoma kuhusu madini
Ngoja nipitie changizo lako alafu nikupe jibu mkuu.
 
Back
Top Bottom