Suala la mafanikio liko subjective sana ni kama pesa na matumizi yake baina ya mtu na mtu.Huwa naona watu wanapongezwa, wanapongezana au hata kumshukuru Mungu kwa shukrani aww?
ndio kwa sababu mafanikio ni sawa na kufikia hatua fulani nzuri katika malengo yakoJe haya ni mafanikio yanayohitaji shamrashamra au shukrani kwa Mungu?
Huwa naona watu wanapongezwa, wanapongezana au hata kumshukuru Mungu kwa shukrani zote kwa:
1. Kupanda ndege
2. Kuonekana kwenye TV
3. Kufika nchi ya nje na Tanzania
4. Kupata likes au re-tweet ya mtu maarufu
5. Kupiga picha au kukutana na mtu mkubwa au maarufu.
Je, haya ni mafanikio yanayohitaji shamrashamra au shukrani kwa Mungu?
Kumbe jibu unalo. Hayo uliorodhesha hapo juu hao unaowazungumzia kwao ni kupiga hatua.Kupiga hatua ya kimaendeleo
Nice to 'see' you again.Ndio ni mafanikio
Kumiliki nyumba Dar ni mafanikio ya kweli maana ukiipangisha itakuletea pesa kila mwezi ya kulea familia bila kusurubika.6 kununua gari
7 kumiliki nyumba Dar
Uko sahihi.Suala la mafanikio liko subjective sana ni kama pesa na matumizi yake baina ya mtu na mtu.
Na nitatumia mfano wa pesa ili nijenge hoja yangu kwenye kujibu hilo swali, ni kwamba...
The way wewe unavyoitreat pesa ni tofauti na mtu mwingine anavyoitreat, ndio maana huwa ni rahisi sana kumuona mtu mwenye kuitumia pesa yake kinamna tofauti na wewe unavyoitumia mfujaji ila kiuhalisia yeye anajiona kawaida tu na pengine na yeye anakuona wewe haujui namna nzuri ya kutumia pesa.
Sasa rudisha huo mfano wa pesa kwenye swali lako na utagundua kwamba kitu ambacho wewe kwa tafsiri yake unakiona cha kawaida sana mwenzio akikutana nacho hakioni kawaida kama wewe bali anakiona ni kikubwa na yeye kukutana nacho au kukipata nikama miujiza kwake.
Na ujumla wa mambo yote haya yanatokana na background zetu, malezi na maeneo ambayo tumekulia, exposure za familia na neighborhood.
Thank youππ,. Mungu ni mwema sanaNice to 'see' you again.
Kabisa mkuu...Uko sahihi.
Kwa mfano kuna watu walio wengi wanakuja kupanda ndege ukubwani baada ya kuchapa kazi kwa miaka mingi kisha anatokea sponsor wa kumlipia tiketi lazima afurahie ila kuna wengine walianza kupanda ndege tangu wakiwa wadogo bado wanasoma familia zao zinawagharamikia tiketi so hatuwezi kufanana
Kupiga picha tu na Rais au waziri inaweza kuwa mafanikio pia?Suala la mafanikio liko subjective sana ni kama pesa na matumizi yake baina ya mtu na mtu.
Na nitatumia mfano wa pesa ili nijenge hoja yangu kwenye kujibu hilo swali, ni kwamba...
The way wewe unavyoitreat pesa ni tofauti na mtu mwingine anavyoitreat, ndio maana huwa ni rahisi sana kumuona mtu mwenye kuitumia pesa yake kinamna tofauti na wewe unavyoitumia mfujaji ila kiuhalisia yeye anajiona kawaida tu na pengine na yeye anakuona wewe haujui namna nzuri ya kutumia pesa.
Sasa rudisha huo mfano wa pesa kwenye swali lako na utagundua kwamba kitu ambacho wewe kwa tafsiri yake unakiona cha kawaida sana mwenzio akikutana nacho hakioni kawaida kama wewe bali anakiona ni kikubwa na yeye kukutana nacho au kukipata nikama miujiza kwake.
Na ujumla wa mambo yote haya yanatokana na background zetu, malezi na maeneo ambayo tumekulia, exposure za familia na neighborhood.
Yeah inaweza kuwa mafanikio kwa mtu... kuna watu wametokea familia za kawaida familia ambazo hazina connection za watu wa namna hiyo kwahiyo unakuta ukoo mzima hakuna mtu ambae aliwahi kujitengenezea connection ya kukutana na wakuu kwahiyo mtu wa namna hiyo unahisi akifanikisha jambo la hivyo atajionaje?Kupiga picha tu na Rais au waziri inaweza kuwa mafanikio pia?
Mafanikio ni kutimiza ndoto uliyojiwekea,kutimiza malengo uliyojiwekea,Kupiga picha tu na Rais au waziri inaweza kuwa mafanikio pia?