Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kabisa, huyo Mungu mwenyewe hayupo.Huwa naona watu wanapongezwa, wanapongezana au hata kumshukuru Mungu kwa shukrani zote kwa:
1. Kupanda ndege
2. Kuonekana kwenye TV
3. Kufika nchi ya nje na Tanzania
4. Kupata likes au re-tweet ya mtu maarufu
5. Kupiga picha au kukutana na mtu mkubwa au maarufu.
Je, haya ni mafanikio yanayohitaji shamrashamra au shukrani kwa Mungu?
Hapana, haiwezekani awepo kwa baadhi ya watu na asiwepo kwa baadhi ya watu.Yupo kwa baadhi ya watu na hayupo kwa baadhi ya watu.