Haya ni majibu ya kijana anayeishi maisha ya useja

Haya ni majibu ya kijana anayeishi maisha ya useja

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Tulikuwa katika mazungumzo na vijana tofauti kuhusu maisha, kijana mmoja akaleta mada ya useja

Kwa kuanza tulianza na mfano kwa kijana mmoja anayesemekana anaishi peke yake
Nilianza na swali la kwanini ameamua kuishi peke yake nakama sababu ya ugumu wa maisha inachangia

Kijana yule hakuwa na hoja nyingi, alikuwa na hoja mbili tu

Ya kwanza alisema kuna raha ya kuishi peke yako Master Room ukiwa na tumbo la kuvuruga

Ya pili alisema kuna raha ya kuishi peke yako ukishajua namna ya kuitumia sabuni vizuri

Wengine walidai sababu ya maisha lakini yeye peke yake ndiye aliyekuwa na hoja za kipekee
 
Back
Top Bottom