Zero Star
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 4,287
- 8,707
Endelea kupekua zaidi...ulipoishia ndio mwsho wa uongo na mwanzo wa ukweliTupe wewe ukweli sasa!
Endelea kupekua zaidi...ulipoishia ndio mwsho wa uongo na mwanzo wa ukweliTupe wewe ukweli sasa!
Mgombea wenu kibaraka Lissu yeye alisema maendeleo ya vitu hayana maana.
Huo ni sijui niseme Nini? Ila unachofikiriaHizi ni estimates za upotevu wa mapato kwenye shughuli za kiuchumi kwa sekta zote kutokana na ufungwaji wa mitandao ya kijamii.
Waathirika ni wote hakuna alieachwa, makampuni ya simu, serikali na wadau wote.
View attachment 1616943
Watu wanapiga hasara za mabillioni ndani ya Tanzania unafurahiCCM OYEE
Wanasiasa walitumia firigisi kuwaza na kuamua huo utumbo wa kizima internetMbona utakuwa ume underestimates hiyo si ni cent tu ya muamala /transaction moja tu ya kwenye biashara fulani?!
Loss of revenue itakayotokea ni billions za fedha pengine ungekuwa unataka kuongelea uhalisia wa mambo!
Hii inahitaji tafakuli ya kina!
Wanasiasa sijui walishirikisha wachumi na wadau wengine kama wakodi katika kufikia uamuzi wa kuzima mitambo ya mitandao ya mawasiliano?!