Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

Watu ni wagonjwa sana siku hizi, ni vyema zaidi kuzuia pambano,... pigana ikiwa ndo last option tu,......kuna mtu alilazwa mwezi mzima kwa kupigwa ngumi moja tu,.....

Kumbuka ukiwa mwanaume Dunia haina huruma na wewe, ni vyema ukajiweka fit,....πŸ‘ŠπŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ₯·πŸ₯·
 

Una umri gani bro, ambaye mpaka wa leo unawaza kupogana ngumi.
Siku hizi kuna usemi, kabla ya kupigana na mimi, utapigana na hela yangu. No physical fights, kama kipindi cha ujima
 
Kutokutumia lugha ya staha mwenzako anapokuja kwa jazba.
Ulimi ni moja ya kiungo makini sana katika kuepusha ugomvi, neno dogo kama samahani mkuu linaweza epusha mengi, ukiona haliepushi hakikisha unakuwa wa kwanza kushusha konde zito kwenye utosi maana hakuna namna ingine.
 
Umeongea uhalisia zaidi, sio nadharia
 
kwenye Kunfu kukimbia ni silaha pia.Lingine Nawapa hii akiba siku inakulazimu no way zaidi ya kupigana hakikisha una sindano ya kushonea Viatu kiunoni hii inatumika kwa watu warefu na mbavu hawa hakikisha usimweke mbali na mpinzani akikuweka maungoni fasta unamaliza pambano.
 
Kama hujawahi kupigana tangu utotoni hasa shule ya msingi basi usithubutu, ukimya ni silaha tosha.

Nawashauri vijana wangu siku zote wasipigane. Siku hizi watu wengi wabovu. Unaweza ukamkusa kidogo tu, tayari mtu chali. Unaanza kuozea Segerea. Usimpige mtu. Hiyo ni mbaya. Nakumbuka miaka zaidi ya 30 iliyopita, jamaa mmoja alimpiga jamaa mwingine ngumi mpaka akazimia. Watu wakaanza kupiga kelele, ameua ameua. Jamaa akaanza kulia nisamehe. Anataka kukimbia. Watu wakamshika, wanamuambia hapa ni polisi tu. Du jamaa ndiyo akazidi kulia. Uzuri yule jamaa akazinduka kabla ya kwenda polisi. Alivyoona hivyo yule jamaa akanyamaza, na kwenda mbele ya yule jamaa aliyezinduka akapiga magoti akisema nisamehe. Lakini naomba usife tena. πŸ˜› πŸ˜€
Kweli hasira hasara
 
Uzi mzuri huu. Binafsi mimi yalinikuta. Jamaa walinipora simu yangu smart mpaka leo hii naingia jf na kiswaswadu. Walikuwa wamebebana wawili kwenye bike nite ngoma tatu hivi.. Mmoja wao akashuka na panga na kisu . Nikataka ku fight back. Wee kidogo nishushiwe la utosini. Ikabd niwe kama nalizuia lile panga kwa mkono . Kilichotokea vidole vyote vinne vya mkono wa kushoto vilikwatwa na sikutegemea kama vingepona . Nilijua vimekatiwa chini. Dah. Ilichukua almost a year ku recover japo nimebaki na kovu la kudumu kwenye vidole vya mkono wangu wa kushoto. Ningekuwa na smart ningepg picha mjionee jinsi vilivyo. Polisi nilienda na hakuna msaada wowote hadi leo hii. Nikasema anyway life goes on. Nilimshukuru mungu sikujeruhiwa kichwani maana ingekuwa ni RIP.
 

Akizima hapo hapo, itakuwaje?
 
Nakuelewa sana kwenye hili.
 
Kuna muda ukimwa wako watu wanaweza kukuchukulia advantage kama weak point. Hili unalizungumziaje?
 
Last time kupigana sikumbuk ni lini... mara nyingi Wauni, walevi, vibaka wa mitaani huwa nachapa makofi mawili matatu.. Ngumi situmii kbs ntaua.

Nakumbuka nilirusha ngumi jamaa akaikwepa kwa kubahatisha ikaenda ktk mpapai, ule mpapai uligawanyika katikati jamaa alikimbia mbio ambazo Usain bolt asingefata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…