Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

Sisi wapiganaji WA mtaani tunajua jinsi Field kulivyo. Hasa kupigana Club au bar. Huko sio poawa.

Kwa kuongeza;

1. Macho yako yawe beneti na macho ya hasimu wako.

2. Unapokwepa Ngumi au teke Hakikisha bado macho yako yanamwona adui yako. Yaani kama umekwepa kwa kuinama chini inama lakini macho yako yakiwa yanamtazama adui.

3. Timing ndio kitu muhimu, mashambulizi ya kushtukiza ni mbinu ambayo inakuwa na Majibu chanya.
Ukishaona hapa kupigana hakuepukiki ni muhimu kumshambulia adui kwa kushtukiza hasa lile shambulizi la Kwanza ukiwa bado Lina nguvu.

4. Hakikisha miguu haiwi katika uwiano Sawa Bali ipishane.

5. Hakikisha haumalizi nguvu za kukimbia ukiona mambo yanakuwia magumu.
Usisubiri kuzidiwa.
Adui anayejua mapambano unamjua sekunde thelasini za mwanzo. Usisubiri zaidi
 
Kuna siku maeneo ya job kuna mwamba alikuwa anampa kisago na watu wameuchuna tu
Nikaona sio fair ngoja nikaawamulie
Jamaa akamuache Yule mpenzi akanivaa Mimi Ile kunishika Tu nikajua MH tayari nishauvaa msala manake alikuwa mbavu alafu amepanda
Raia nao wanasogea sio kuamulia Bali kutengeneza uwanja dah nikaona no way out hapa ni kupambana Tu
Kilichotokea SASA......
😁😁Wahuni badala waamulie wanaunda uwanja😁

Tumefanya sana hizi enzi hizo utotoni
 
Back
Top Bottom