Uchaguzi 2020 Haya ni mambo 10 niliyoona kwa CCM Vs CHADEMA mpaka sasa kuelekea kipute cha kampeni rasmi

Asante mkuu. Tuendelee kujenga nchi
 
Kaa ukimjua vizuri Lissu siyo level ya kina Polepole. Ni Kama nawahurumia CCM Sana. Rais Magufuli tayari alshamaliza kampeni zake kwa kuzunguka nchi nzima bila kupingwa. Sasa Ni zamu ya Lissu kusikilizwa. Wanasema kipya kinyemi
Hii nadharia nliwah kuifikiri.... watanzania huwa ni wepes kusahau mambo na ni wepesi kubadilishwa fikra.... so inawezekana km cdm wakiwa strategic wakawa everywhere at the same time(nadhan unapata mambo ya kiki) watanzania wakawasikia kila wakati... ni rahisi sana kuwakamata kwa kuwa ccm hawana jipya zaid ya ndege, flyover, sgr, stigler bas... lakin ktk uchumi wa wananchi wamechemsha na inaweza kuwa hoja kubwa sana...
 
Ndiyo umefikia hapa! Unajitoa ufahamu na kujidhalilisha namna hii? CCM wana mbinu gani zaidi ya mbinu ya ''dola''? Hebu tuwe fair: CCM bila nguvu ya dola itapata shida kubwa sana kushinda uchaguzi.
Daah nimemcheki jamaa nikakumbuka ule msimamo wake huko nyuma, awali kidogo nilielewa labda kwakua ni Lowassa, leo ni Lissu lakini bado yupo palepale!

Hili linanipa mawazo kuwa je ni kweli ilikua Lowassa au watu walifika bei?

Nimemkubuka Dr mihogo!
 
We jamaa bana, sasa hapa mambo 10 na hayo wapi na wapi [emoji41]
 
Namnyaka sana huyu mwandani wa Dr mihogo! Na nina imani Dr mihogo asingeingiwa na roho ya Yuda kupitia yule Yezebeli asingesaliti mapambano kwani tuliopitia medani za vita tunajua ktk kutafuta silaha za kumtandika adui huwa hatuchagui wala kubagua!

Dr mihogo asingeuacha upinzani kwa sababu za kitoto namna ile isipokua yule Yezebeli anaewaongoza akina MTAZAMO hadi leo!

Roho inawauma sana kuona upinzani unaamka! Walifikiri upinzani ni watu kumbe ni wakati!
 
"joto la uchaguzi" litakuunguza wewe peke yako mkuu,wananchi walio wengi hawafatilii vijembe na kebehi.Kura zitakustaajabisha sana na huenda ukaachana na siasa

Sio wananchi, sema wanaccm ndio hawafuatilii vijembe vya Lisu.
 
Uko sahihii Ila hakunaga uchaguzi bongo Bali Ni kufurahisha mabeberu

Suluhisho Ni katiba Mpya

Poteza muda wako kupanga foleni kuhalalisha uchafuzi
 
Basi hatutamchagua magufuli, tutachagua ccm
 
..TL anatakiwa ajielekeze ktk kuwaelimisha wapiga kura jinsi gani ataboresha hali zao za kiuchumi.

..kwa mfano, kama ni bodaboda basi aeleweshwe mabadiliko yatakayomgusa na kumuwezesha kutoka kuwa na bodaboda moja kwenda mbili.

..kama ni kijana aliyemaliza masomo, basi anatakiwa aeleweshwe mabadiliko yatakayotokea ambayo yatamuwezesha siyo kupata ajira tu, bali kupata ajira anayoipenda au kuitamani.

..kama ni mzazi ana mtoto shuleni ahakikishiwe kwamba elimu itakayoipata mwanawe itamuwezesha kujitegemea na kuwa msaada kwa wazazi wanaomsomesha as long as anajituma. Na kwamba elimu na maarifa atakayoyapata yatamuwezesha kufanikiwa ktk soko la ajira za kazi ndani na nje ya Tanzania.

..WAKULIMA nao waelimishwe jinsi gani wataweza kukua. Wakulima wadogo waelewezwe mipango itakayowawezesha kuwa wakulima wa kati. Wakulima wa kati waeleweshwe mipango itakayowawezesha kupanda daraja na kuwa wakulima wakubwa.

..Kwa maoni yangu, kufanikiwa au kutokufanikiwa kwa Tundu Lissu kutatokana na aina ya ILANI ya uchaguzi waliyoiandaa CDM na wasaidizi wake wa kampeni wanamuandaa vipi. Pamoja na umahiri wa TL ktk kujenga hoja na kulitawala jukwaa CDM wawe makini kumuongoza ktk kuzungumza yale yanayowagusa wananchi.
 
Kudos mkuu, sasa hizi ndio hoja za kujenga..[emoji123]
 
Kwa hoja hii, CCM inawazidi CDM ni kitu kimoja tu.....wizi wa KURA.

Kama kweli CDM na wapinzani wote wa KWELI watalidhibiti hili basi dola ni yako mwezi wa kumi.
 
Maandishi mengi useless...... hakuna lolote.

Ulichokiandika hapa ni pambio za kuisifia sisiem.


 
Very objective observation or points ila Ufipa watapinga itadhani ni matusi kumbe ni silaha umewapa ya kujilinda. Wacha wabaki mtandaoni na matamko ya jogoo watastuka wenzao wapo mbali mno.
 

tatizo nyie mnadhan lissu ndo upinzani peke yake, vyama viko vingi aisee usidhan kura za ukawa ni zenu! sasahv mnatakiwa mjibebe kwahio mtegemeee kura kama kipindi cha mbowe anagombea kama sio 20% ya kura zote haiwezi zidi apo:

suala la uchumi linaeleweka kabisa na hakuna mtu duniani hajui tumeingia uchumi wa kati,NB: haiwezekani wote kutoka kimaisha na haitakaa iwezekane na ndo maaana ya capitalism means uchumi unashikwa na watu wachache

kama uko kwenye ajira saaahv mshukuru sana magufuli na umuombee kama unataka kujua unemployment angalia USA after corona! ukishamaliza kufuatilia uje tena apa kutoa takwimu

2015 magufuli alishinda ingawa vyama vya upinzani viliungana , je saaahv mtaweza na kila mtu yuko kivyake NB: vyama vingine vimeungana na ccm, mf MREMA, kwa kifupi nyie ni wa kuonea huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…