Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
We unahangaika sana! Utagawa sana hicho kitobo kwasababu ya shibe
mtoa mada na huyu nan wa kuonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unahangaika sana! Utagawa sana hicho kitobo kwasababu ya shibe
mtoa mada na huyu nan wa kuonea huruma
We unahangaika sana! Utagawa sana hicho kitobo kwasababu ya shibe
We unahangaika sana! Utagawa sana hicho kitobo kwasababu ya shibe
..TL anatakiwa ajielekeze ktk kuwaelimisha wapiga kura jinsi gani ataboresha hali zao za kiuchumi.
..kwa mfano, kama ni bodaboda basi aeleweshwe mabadiliko yatakayomgusa na kumuwezesha kutoka kuwa na bodaboda moja kwenda mbili.
..kama ni kijana aliyemaliza masomo, basi anatakiwa aeleweshwe mabadiliko yatakayotokea ambayo yatamuwezesha siyo kupata ajira tu, bali kupata ajira anayoipenda au kuitamani.
..kama ni mzazi ana mtoto shuleni ahakikishiwe kwamba elimu itakayoipata mwanawe itamuwezesha kujitegemea na kuwa msaada kwa wazazi wanaomsomesha as long as anajituma. Na kwamba elimu na maarifa atakayoyapata yatamuwezesha kufanikiwa ktk soko la ajira za kazi ndani na nje ya Tanzania.
..WAKULIMA nao waelimishwe jinsi gani wataweza kukua. Wakulima wadogo waelewezwe mipango itakayowawezesha kuwa wakulima wa kati. Wakulima wa kati waeleweshwe mipango itakayowawezesha kupanda daraja na kuwa wakulima wakubwa.
..Kwa maoni yangu, kufanikiwa au kutokufanikiwa kwa Tundu Lissu kutatokana na aina ya ILANI ya uchaguzi waliyoiandaa CDM na wasaidizi wake wa kampeni wanamuandaa vipi. Pamoja na umahiri wa TL ktk kujenga hoja na kulitawala jukwaa CDM wawe makini kumuongoza ktk kuzungumza yale yanayowagusa wananchi.
Wewe mwenyewe tu ulivyo ni matusi tayari.alafu kwann wana cdm wengi hua hamnaga hoja zaidi ya matusi maaana hakuna sehem nmetukana mtu
Hahahaha kwenye suala la ajira tumshukuru Magufuli???? Amka usingizini ndugutatizo nyie mnadhan lissu ndo upinzani peke yake, vyama viko vingi aisee usidhan kura za ukawa ni zenu! sasahv mnatakiwa mjibebe kwahio mtegemeee kura kama kipindi cha mbowe anagombea kama sio 20% ya kura zote haiwezi zidi apo:
suala la uchumi linaeleweka kabisa na hakuna mtu duniani hajui tumeingia uchumi wa kati,NB: haiwezekani wote kutoka kimaisha na haitakaa iwezekane na ndo maaana ya capitalism means uchumi unashikwa na watu wachache
kama uko kwenye ajira saaahv mshukuru sana magufuli na umuombee kama unataka kujua unemployment angalia USA after corona! ukishamaliza kufuatilia uje tena apa kutoa takwimu
2015 magufuli alishinda ingawa vyama vya upinzani viliungana , je saaahv mtaweza na kila mtu yuko kivyake NB: vyama vingine vimeungana na ccm, mf MREMA, kwa kifupi nyie ni wa kuonea huruma
tukiwaambia hamkubaliki mtaani hua mnaona tunaongea sana, mmeona sasa kwa macho?
Ishu sio kujipanga.Kwa miaka hii mitano kila mtz ni mhanga wa kuumizwa na awamu hii ya hovyo kuliko zote tangu ukoloni,watu watapiga kura za hasira kura za kisasi,maana wanajua kama mgombea wa ccm akirudi tena atawaumiza sana again miaka 5 kwa maumivu na mateso makali walilimia meno watalimia kucha sababu ya uzoefu wa mateso waliyopata.Ugumu wa maisha uliotokana na kuwasosmesha watu namba ili wawe masikini ili waweze kutawaliwa umelata chuki kubwa sana watu kuichukia awamu hii.Wakuu,
Haya ni mambo 10 niliyoona mpaka sasa kuelekea kipute cha kampeni rasmi.
1) What a match!, Mpaka sasa CCM inabebwa na watu wenye experience ambao kipindi kama hiki ndio unajua uwezo wao. Wao kelele nyingi ziko kwenye mipango (strategies) kuliko kelele na matamko ya majukwaani.
2) Tundu Lissu is impressive as usual lakini seems Chadema hawakumuandaa, experience yake ya uanaharakati ndio unaofanya aonekane active uwanjani lakini bado hajawa na madhara kihoja ingawa bado mapema. Mambo ya kusema atamshtaki JPM kwa rushwa ya kununua jogoo laki moja ni uanaharakati si level zake tena kama mgombea Urais.
3) John Pombe Magufuli yuko composed sababu ya records zake awamu hii ya kwanza. Lakini pia kwasasa nguvu kubwa ipo kwenye kupanga vyema mabeki majimboni na udiwani.Hapo ndio unapoona timu kubwa na yenye watu wazoefu inavyohandle mchezo. Ni kama wameamua kuacha wapinzani wacheze huku wao wakikamilisha ramani ya ushindi.
4) Kimbinu Chadema wanahitaji timu bora kumzunguka Lissu wakiwemo waandamizi wa serikali zilizopita akiwemo Nyarandu ili kumshape Lissu kama mgombea Urais lakini pia mipango ya kusaidia kampeni majimboni ambako hali si nzuri
5) Kimbinu CCM wana kazi kubwa ya kumaliza mchakato wa wagombea ubunge na udiwani bila mpasuko lakini maeneo mengi kimbinu wamejipanga kushinda.
6) JPM takwimu zinambeba na wananchi wanajua matokeo yake wakimchagua tofauti na Lissu ambaye anapaswa kujikita kwenye hoja zenye matarajio ya wananchi hasa wanyonge walio wengi. Je ataweza kuaminisha wananchi ili wamchague?
7) Financially CCM wako stable kuhandle kampeni kuliko Chadema ambayo imepanga pia kusimamisha wagombea majimbo yote.
8) JPM amefanikiwa kuhakikisha watendaji wake wote wanajua takwimu za mambo yaliyofanyika awamu hii hivyo itabidi kila hoja za Lissu zinazogusa takwimu ajipange otherwise akikosea atapingwa hata na makatibu tarafa. Hizo takwimu zimeimbwa muda mrefu na hata wananchi wengi wamezikariri.
9) Angalizo, Lissu usihangaike na wimbo wa katiba mpya hauna mashiko kwa wananchi wanyonge na hautampa kura. JPM pia awekeze hoja kwenye mipango mipya hasa mapinduzi kwenye kilimo na uwekezaji.
10) Wapinzani bila kusimamisha mgombea mmoja huu utakuwa uchaguzi mgumu hadi majimboni kuliko wakati wowote.
Mizania pima mwenyewe, hayo ni maoni yangu binafsi [emoji41]
Haa tundulisi hajulikani kokote ...yaa tundulisu akibata kura hata 3% na Hama nchiWakuu,

Utawala ambao haueshimu Katiba na Haki za Binadamu hata kama umefanya mazuri gani ni bureTakwimu gani za maana zinambeba Magufuli??
Za kuteka, kutesa wapinzani??
Magufuli for 5yrs consecutively hajapandisha mishahara ya watumishi wala madaraja vitu ambavyo vipo kisheria..je hizo ni takwimu za kumbeba hizo??
Amekamata na kubambikia kesi watu wangapi huyu mtu?? Wangapi wanasota mahabusu na magerezani sababu ya mkono wa chuma wa Magufuli??
Utawala ambao haueshimu Katiba na Haki za Binadamu hata kama umefanya mazuri gani ni bure..yupo wapi Ben Saanane, Azory, Kanguye na wengine?? Si ni Utawala huu ndio umewapoteza..?? Unafikiri watu hawayajui haya??
Hata ukija kwenye infrastructure, Rais gani hakujenga miundombinu kwenye Utawala wake katika Awamu zilizopita??
Eti Magufuli yupo composed...yupo composed kwenye nini?? Huyu mtu anaongea ovyo na kukashifu watu hasa wanawake kila siku halafu unasema yupo composed?? Acha mzaha wewe.. Unakumbuka alivyowakashifu watu Bukoba baada ya lile tetemeko..so he was very composed that day..mtu anaongea ovyo utafikiri sio Mkuu wa Nchi..unasema yupo composed..kila mahali akiongea ni kubaribu..
Analojivunia ni moja, anao uwezo wa kuuvuruga uchaguzi na akatangazwa ameshinda kama alivyofanya kwenye ule wa Serikali za Mitaa sababu NEC sio huru kabisa, lakini kwamba atashinda kwasababu ya takwimu ulizoziweka..hakuna kabisa.
anza na hii kabla sjakuleta video nlizorecord mwenyeweMtaa upi labda ili tuende kuchunguza? Maana ungesema APPT MAENDELEO wangalau ningekuelewa lakini sio cdm.
Hahahaha kwenye suala la ajira tumshukuru Magufuli???? Amka usingizini ndugu
Nend kakae na mwana CCM mwenzako Jakaya Kikwete akuelezee huo uchumi wa kati. Tuondolee ujinga wako hapa.
Subiri uone October 2020 huyo Magufuli wako anavoenda kupigwa mchana kweupe na Lissu
Wewe mwenyewe tu ulivyo ni matusi tayari.
Sio hizo mkuu za kidumu chama chetu. Hapa zinazungumzwa KURA zile zenyeweKwani wakati zinahesabiwa hadharani kura za Hussein Mwinyi alikimbia ukumbi!
The rate-determining step is a free and fair election, short of this all this is rubbish!Wakuu,
1) What a match!, Mpaka sasa CCM inabebwa na watu wenye experience ambao kipindi kama hiki ndio unajua uwezo wao. Wao kelele nyingi ziko kwenye mipango (strategies) kuliko kelele na matamko ya majukwaani.
2) Tundu Lissu is impressive as usual lakini seems Chadema hawakumuandaa, experience yake ya uanaharakati ndio unaofanya aonekane active uwanjani lakini bado hajawa na madhara kihoja ingawa bado mapema. Mambo ya kusema atamshtaki JPM kwa rushwa ya kununua jogoo laki moja ni uanaharakati si level zake tena kama mgombea Urais.
3) John Pombe Magufuli yuko composed sababu ya records zake awamu hii ya kwanza. Lakini pia kwasasa nguvu kubwa ipo kwenye kupanga vyema mabeki Majimboni na Udiwani. Hapo ndio unapoona timu kubwa na yenye watu wazoefu inavyohandle mchezo. Ni kama wameamua kuacha wapinzani wacheze huku wao wakikamilisha ramani ya ushindi.
4) Kimbinu Chadema wanahitaji timu bora kumzunguka Lissu wakiwemo waandamizi wa serikali zilizopita akiwemo Nyalandu ili kumshape Lissu kama Mgombea Urais lakini pia mipango ya kusaidia kampeni Majimboni ambako hali si nzuri
5) Kimbinu CCM wana kazi kubwa ya kumaliza mchakato wa wagombea Ubunge na Udiwani bila mpasuko lakini maeneo mengi kimbinu wamejipanga kushinda.
6) John Pombe Magufuli takwimu zinambeba na wananchi wanajua matokeo yake wakimchagua tofauti na Lissu ambaye anapaswa kujikita kwenye hoja zenye matarajio ya wananchi hasa wanyonge walio wengi. Je ataweza kuaminisha wananchi ili wamchague?
7) Financially CCM wako stable kuhandle kampeni kuliko CHADEMA ambayo imepanga pia kusimamisha wagombea majimbo yote.
8) John Pombe Magufuli amefanikiwa kuhakikisha watendaji wake wote wanajua takwimu za mambo yaliyofanyika awamu hii hivyo itabidi kila hoja za Lissu zinazogusa takwimu ajipange otherwise akikosea atapingwa hata na Makatibu Tarafa. Hizo takwimu zimeimbwa muda mrefu na hata wananchi wengi wamezikariri.
9) Angalizo, Lissu usihangaike na wimbo wa katiba mpya hauna mashiko kwa wananchi wanyonge na hautampa kura. John Pombe Magufuli pia awekeze hoja kwenye mipango mipya hasa mapinduzi kwenye kilimo na uwekezaji.
10) Wapinzani bila kusimamisha mgombea mmoja huu utakuwa uchaguzi mgumu hadi majimboni kuliko wakati wowote.
Mizania pima mwenyewe, hayo ni maoni yangu binafsi [emoji41]
Ni uchambuzi mzuri as at TODAY ila yote tusubiri hiyo MANIFESTO YA CCM ya Uchaguzi na Mwelekeo wao hadi 2030! Hiyo ndiyo kiboko yao na yote unayo tamani kuyaona au/na kuyasikia yamo humo. We subiri uone WANAHARAKATI watakavyo hangaika. Halafu hoja ya upinzani kusimamisha mgombea mmoja wa kwenye nafasi ya Urais, mie nasema FORGET THAT! Hawana ubavu huo hawa WALAFI wa madaraka na RUZUKU. Kwa wengi hivi vyama vya siasa ni NGO ZAO. Hawawezi KU-COMMIT SUICIDE hawa.Wakuu,