Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Habari Mjasiriamali,
Karibu kwenye Episode 2 ya Business Compliance series" na Leo tunaongelea"Beneficial ownership"
Kila Kampuni Ina wajibu wa Kusajili beneficial owners ndani ya siku 30 baada ya Kusajili Kampuni.
Hili ni takwa la kisheria ambalo kila Kampuni inalazimika kulifuata kama sehemu za corporate compliance.
Beneficial Owner anaweza mtu yoyote, anaweza kuwa mtoto wako, mkewako, baba, mama etc hata kama Hana hisa kwenye Kampuni.
Sasa haya ni mambo Manne Yatakayo Tokea Usipo File Beneficial ownership;
1. Fines and penalties
Ukishindwa ku file beneficial ownership ndani ya muda husika (siku 30) post registration Kampuni yako itaanza kupigwa penalties kila Mwezi mpaka siku utakapo file.
Hii penalty inaendelea kujikusanya na siku ya ku file utailipa yote at per.
2. Kuzuiwa kufanya applications zingine Brela
Kampuni yako haitakua na uwezo wa kufanya application nyingine yoyote, hutaweza ku file annual returns, changes, licenses etc.
3. Kukosa huduma za kibenki kama mkopo
Kampuni yako itaonekana haija fuata compliances hivyo banks hawawezi kukupa mkopo
4. Kukosa zabuni na wawekezaji
Wawekezaji hufanya due diligence before waweke pesa kwenye Kampuni yako, imagine unakosa pesa kwa sababu tuu huja file beneficial ownership.
BONUS Tip
5. Kampuni yako haitakua compliant.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kufanya compliances za biashara zao,
Kama unahitaji consultation kuhusu compliances za Kampuni unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite lawyer.