Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Habari Mjasiriamali, karibu kwenye Episode 1 ya "Business Compliance series" Na Leo tunaongelea Compliance ya kwanza "Annual Returns"
Hii ni application ambayo hufanywa na Kampuni kila mwaka katika maadhimisho au birthday ya Kampuni.
Wamiliki Wa Kampuni, directors, wakili au secretary Wana wajibu wa ku file annual returns ndani ya siku 28 baada ya birthday ya Kampuni.
Ikiwa Kampuni ita fail ku file annual returns haya ni mambo Matano Yatakayo Tokea;
1. Application zingine zote za Kampuni zitakataliwa.
Kampuni haitaweza kufanya application ya kubadili director, secretary, mtaji, na application yoyote Ile.
Hii huleta mlolongo mrefu kwa application ambazo zinahitajika kufanyika ndani ya muda mfupi.
2. Penalties and fines
Utapigwa penalty ya 2500 kila Mwezi with accrual interest kwa muda wote ambao utachelewa ku file annual returns.
3. Possible struck out
KAMPUNI yako ikikaa muda mrefu bila ku file annual returns Brela inaweza kuanza mchakato wa kuifuta au kuiondoa kwenye list ya registered companies.
4. Kuharibu uaminifu
Institutions kama serikali, banks, creditors, shareholders wanaweza kukosa Imani ya Kampuni Yako na hivyo kushindwa kufanya kazi na wewe.
5. Kukosa zabuni na mikopo
Wadau wa zabuni na mikopo hufanya company search kabla ya kufanya kazi na Kampuni yoyote, search itaonesha kua huna desturi ya ku file annual returns, wataona hakuna accountability within a company na watakupiga chini.
Ninatoa OFA ya free consultation kwa Dakika 15 kama unahitaji consultation kuhusu Annual Returns unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Andika neno "Annual"
I hope this helps you,
Your Favorite lawyer.