Habari Mjasiriamali, karibu kwenye Episode 1 ya "Business Compliance series" Na Leo tunaongelea Compliance ya kwanza "Annual Returns"
Hii ni application ambayo hufanywa na Kampuni kila mwaka katika maadhimisho au birthday ya Kampuni.
Wamiliki Wa Kampuni, directors, wakili au secretary Wana...
Ndoa itakushinda Iwapo...
1. Ikiwa tendo la ndoa halina maana kwako..
Ipo hivi...
Katika ndoa, tendo la ndoa si la hiari - ni la msingi. Ikiwa hutaki kuduu, tafuta usaidizi kutoka kwa marafiki na jamaa, na fikiria kuasili watoto ila isiingie katika ndoa. .
2. Ikiwa unataka kutenganisha...
1. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi.
2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais na ubunge kufinyangwa.
3. Kuanza kampeni za kugombea kabla ya muda.
4. Takrima ya ugawaji vitu kama...
Ikiwa kweli una utimamu wa akili, madaraka ya kisiasa siyo jambo la kukimbilia kama hauna dhamira ya dhati ya kutumikia jamii yako.
Uongozi ni kuacha alama, kuwaongoza watu waweze kufikia mafanikio wanayoyatamani ya kiuchumi na kijamii
KIongozi atadaiwa mengi na atapimwa kwa mengi, hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.