Mambo matano ya chama tawala ambayo msajili wa vyama vya siasa ameamua kufungia macho

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
1. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi.

2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais na ubunge kufinyangwa.

3. Kuanza kampeni za kugombea kabla ya muda.

4. Takrima ya ugawaji vitu kama baiskeli.

5. Kufanya siasa za uchaguzi makanisani, misikitini na michezoni.
 
Yule jaji mbumbumbu mwenye bichwa kama sehemu zake za Siri ni laana kwa democrasia ya hii nchi. Bora hata zina akili ya kujisimamia sio takataka yule
 
1. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi.

2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais na ubunge kufinyangwa.

3. Kuanza kampeni za kugombea kabla ya muda.

4. Takrima ya ugawaji vitu kama baiskeli.

5. Kufanya siasa za uchaguzi makanisani, misikitini na michezoni.
Historia itatenda haki
 
Karma is real. Walizoea kuwaonea CHADEMA yatawarudia.
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
1. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi.

2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais na ubunge kufinyangwa.

3. Kuanza kampeni za kugombea kabla ya muda.

4. Takrima ya ugawaji vitu kama baiskeli.

5. Kufanya siasa za uchaguzi makanisani, misikitini na michezoni.
3,4 & 5
💯✔️
 
1. Kilichosemwa na Makalla ni njia ya kuzuia na kudhibiti, inawezekana ni kweli CHADEMA walikuwa na mpango huo kweli ila kitendo Cha kusemwa na Makalla kimefanya wasitishe jambo Hilo. Hii mbinu inatumika sana.

2. Mchakato wa ugombea urais ulianza lakini bado nafikiri haujatamatika na mchakato wa ubunge Bado haujatamatika pia utasemaje umefinyangwa?

3. CCM inafahamu taratibu za uchaguzi na pia inafahamu kuanza taratibu hizo ni kosa na kinachoendelea sasa ni kukamilisha mchakato ya uchaguzi ndani ya CCM na kuanza kwa mchakato wa uchaguzi Mkuu.

4. Ni utaratibu wa CCM kuwezesha mazingira mazuri ya utendaji KAZI kwa viongozi wake na hizo baiskeli zimetolewa kurahisha utendaji na uenezi wa sera za CCM na ndio maana zimetolewa kwa mabalozi

5. Moja ya KAZI kubwa ya siasa ni kuhamasisha amani na kujiepusha na matendo yasiyofaa na ni KAZI ya viongozi wa dini hivyo mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni CCM ni muumuni wa amani na inahubiri amani makanisani, misikitini. Hilo ni kosa?
 
Alafu vikizeeka vnataka huruma kutoka kwa vijana ilihali viliwakandamiza KIPIND hicho.
 
1. Kilichosemwa na Makalla ni njia ya kuzuia na kudhibiti, inawezekana ni kweli CHADEMA walikuwa na mpango huo kweli ila kitendo Cha kusemwa na Makalla kimefanya wasitishe jambo Hilo. Hii mbinu inatumika sana.

2. Mchakato wa ugombea urais ulianza lakini bado nafikiri haujatamatika na mchakato wa ubunge Bado haujatamatika pia utasemaje umefinyangwa?

3. CCM inafahamu taratibu za uchaguzi na pia inafahamu kuanza taratibu hizo ni kosa na kinachoendelea sasa ni kukamilisha mchakato ya uchaguzi ndani ya CCM na kuanza kwa mchakato wa uchaguzi Mkuu.

4. Ni utaratibu wa CCM kuwezesha mazingira mazuri ya utendaji KAZI kwa viongozi wake na hizo baiskeli zimetolewa kurahisha utendaji na uenezi wa sera za CCM na ndio maana zimetolewa kwa mabalozi
Malizia na namba tano.
 
Back
Top Bottom