Haya ni mapenzi au huruma?

natu
Personally I do think unampenda. The only reason you are conficted is you never imagined yourself na mtu kama yeye. Ila kwa kuwa now your feelings have seen beyond his physical imperfections you are second guessing yourself , thinking watu watasemaje!?
 
lolz! sasa avatar yangu inatia huruma kiasi hicho mpaka umenihurumia! mi nimekufurahia tu maana join date ziko sawa so we are simply twins
OMG!una macho mazuri ndo mana naona huruma,kweli nimeona twins,sijui kurwa atakuwa nani
 
Aisee mkipata watoto msiache kutuwekea hapa jamvini family potrait yenu tuone product mtakazotoa.. Mapenzi kizunguzungu wajameni angalia tu usiangukie kunako siko..
 
siku moja nimekaa nyumban tunaongea na mke wangu....mara akaniambi hivi....''unajua kuna kitu huwa nikiiangalia kwako huwa nafurahi na ndicho kilinisukuma nikupende'' nikamuuliza kitu gani''akaijibu ni hivyo vi dimples vyako yaani navipenda kweli na ndio maana nikafunga ndoa na wewe nashukuru na mwanangu blanca amerith''....nilishangaa kweli

sasa huenda na wewe hilo jjicho la jamaa ndo kivutio lakini pia hiyo isiwe sababu saaana ya kutokumkubalia kaka wa watu.....
 
sasa kama unanionea huruma inabidi usubiri watu watakonkludi nini kwa hii sred ili upate pa kuanzia,nahs kurwa ni mimi..lol
sitaki wakusumbue pacha wangu,nitakuwa mlinzi wako humu.
 
Umenitamanisha michembe na chai ya maziwa

Aisee mkipata watoto msiache kutuwekea hapa jamvini family potrait yenu tuone product mtakazotoa.. Mapenzi kizunguzungu wajameni angalia tu usiangukie kunako siko..
 
Use your logic 1st then emotions!Belivdat!
 
sawa pacha asante kwa kunijali na kujitolea kunilinda! pia nitakuwa nawaambia usinikonyeze by Huggy Bear....
hapo ndo udhaifu wangu unaanzia nikikonyezwa,tena wasikukonyeze kabisa,mana nimeshakukonyeza
 
Sory waungwana nimeingia jamvn bla kupga hodi!!
Natu dia,
inawezkana upo mpweke huko ndo maana ucpopgiwa cm au kumuona unajhc vbaya kwakuwa ndo m2 aliyekuzoesha kukufanyia hvyo na ndo anakuondolea upweke ulionao,km ndivyo kweli unachohc c mapenz ni huruma 2 kwa jamaa na nafc yako pweke.
knyume cha hapo inaweza ikawa mapenzi jpe mda wakujtambua,manake mara nyng kupenda hakuna kanuni weng 2nachanganya mapenz na huruma.
 
jf is never boring...lol

member wapya lakini mnaijua mitaa yote ya jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…