Haya ni maringo ya Wakenya au ni kujiwekea standard juu dhidi ya majirani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Mwezi huu maada ya mchakato wa mwaka mzima Kenya imeitangaza rasmi Eldoret kuwa jiji la 5 katika nchi hiyo, hata hivyo Wakenya wengi wamedhihaki na kukebehi uamuzi huo wakiita Eldoret kuwa bado ni kijiji tu!
Hawa majirani zetu tuwaambie ukweli au tuwaache tu?

 
Hii na Iringa bora Iringa. Haistahili kuwa jiji labda kama wana vigezo vyao vingine ila muonekano wa mji ni chini ya kiwango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…