Haya ni maringo ya Wakenya au ni kujiwekea standard juu dhidi ya majirani?

Haya ni maringo ya Wakenya au ni kujiwekea standard juu dhidi ya majirani?

Swali zuri na wadau wote wanajitoa ufahamu. jiji sio maghorofa, jiji ni activities, Ulaya kuna majiji kibao maghorofa unayatafuta kwa tochi,

Niliwahi kuandika hii comment kipindi cha Nyuma naipaste hapa

So ni ujinga kutumia kigezo cha Maghorofa kama Jiji wakati hakuna mahala popote hicho ni kigezo.
Wakenya ni wapumbuvu sana Maputo au Luanda Angola imejenga na wana mgorofq lakini wako kimya
 
Wakenya ni wapumbuvu sana Maputo au Luanda Angola imejenga na wana mgorofq lakini wako kimya
itakua wana vijigorofa na sio Magorofa. kama kweli wana Magorofa, mbona siwaoni humu 👇👇👇

Top 20 tallest buildings in Africa and their heights​

0d0af662a15be663b9bda2118d117dcf

By
Sub-editor
image-130.png

1. Iconic Tower – 393.8 m​

The Iconic Tower is a skyscraper in the New Administrative Capital of Egypt. With a total structural height of 393.8 metres

2. The Leonardo – 234 m​

The Leonardo is a 55-floor mixed-use property development in Sandton, Johannesburg, South Africa that stands at the height of 234 metres.

3. Carlton Centre – 223m​

The Carlton Centre is a 50-storey skyscraper and shopping centre located on Commissioner Street in central Johannesburg, South Africa.
Its peak height is 223 metres.

4. Britam Tower – 195 m​

The Britam Tower is a commercial building in Nairobi owned by British-American Investments Company. The skyscraper, the tallest building in Kenya, rises 195 metres above ground, with 32 usable floors.

5. Ponte City Apartments – 173 m​

Ponte City is a skyscraper in the Berea suburb of Johannesburg, South Africa, just next to Hillbrow. It was built in 1975 to a height of 173 m, making it the tallest residential skyscraper in Africa. The 55-storey building is cylindrical, with an open centre allowing additional light into the apartments

6. UAP Tower – 163 m​

UAP Old Mutual Tower is a 33-storey office complex in the Upper Hill neighbourhood of Nairobi, the capital and largest city in Kenya.
It became the tallest structure in Kenya upon its completion in 2015, surpassing Times Tower, which had held that record for 15 years.

7. NECOM House – 160 m​

NECOM House is a skyscraper located in Lagos. The 32-story building was completed in 1979, and houses the headquarters of NITEL.
The communications spire at the top of the tower serves as a lighthouse beacon for Lagos Harbour. The building is constructed of concrete.

8. PSPF Towers (Tower A) – 153 m​

9. PSPF Towers (Tower B) – 153 m​

10. Marble Towers – 152 m​

11. Pearl Dawn – 152 m
12. South African Reserve Bank Building – 150 m
13. Metlife Centre – 150 m
14. 88 on Field – 147 m
15. Ministry of Foreign Affairs Building – 143 m
16. El Gezira Tower Movenpick Hotel – 142 m
17. Grand Hyatt Cairo – 142 m
18. Nile City South Tower – 142 m
19. Nile City North Tower – 142 m
20. KwaDukuza eGoli Hotel Tower 1 – 140 m
 
Maendeleo ya vitu,tizama watu sasa huo msoto wanaopitia.
lakini huwezi kuta wenyeji wamejipanga barabarani kuombaomba kama hawa 👇👇
IMG_20240819_122116.jpg

lakini huwezi kuta wenyeji wamejipanga barabarani kuombaomba kama hawa 👇👇
View attachment 3076764
😂😂😂😂😂Nina cheka kwa vitu viwili.
1)Ombaomba aliwezaje kupata uwezo wa kuvuka border kuja Kenya!?
Alipaa au alitembea kwa miguu?
Passport alipataje!?
2)Tuseme sawa ni ombaomba,je kwa wachache waliofeli maisha ndio justification ya wengi waliobaki nchini Tanzania!?
Uliwahi kumsikia Mtanzania anapigana kisa ugali kama huko Kenya!?
 
kawaulize BBC

View: https://m.youtube.com/watch?v=sz8ZyCmV0N8
 
Mwezi huu maada ya mchakato wa mwaka mzima Kenya imeitangaza rasmi Eldoret kuwa jiji la 5 katika nchi hiyo, hata hivyo Wakenya wengi wamedhihaki na kukebehi uamuzi huo wakiita Eldoret kuwa bado ni kijiji tu!
Hawa majirani zetu tuwaambie ukweli au tuwaache tu?

View attachment 3072182View attachment 3072183View attachment 3072184View attachment 3072185View attachment 3072186View attachment 3072187
mkuu umefika jiji la mbeya au jiji la tanga?
mbona hii edoret inaonekana iko vizuri kuliko mbeya yetu?
 
Kwa kuzingatia vigezo vya kimataifa vya Uanishaji wa Miji kuwa Jiji, Dsm na Mwanza vimekosa kabisa sifa za kuweza kuwa Jiji, hata kwa kuzingatia kigezo kimoja tu Kupangilika kwa Mji na Miundombinu yake (Town Planning and Infrastructures Planing and its Quality).
Mathalani, takribani asilimia 80 Ardhi yote kabisa ya Mji wa Dsm haijapimwa (usurveyed) na wala haiko katika Mpangilio mzuri, hata miundombinu yote kabisa ya ujenzi na majenzi pia haipo kwenye mpangilio licha ya kwamba Ina ubora ulio duni kabisa. Mji wote upo shagala-bagala, hovyo hovyo, mchafu na karibia takribani asilimia 70 ya Nyumba na majengo yote kabisa yaliyopo kwenye mji huo hayafikiki kabisa kwa barabara.
huu ni ukweli mchungu,
infact ukiondoa dodoma, nchi hii hakuna mji uliopangiliwa (kupima ardhi)
 
Maendeleo ya vitu,tizama watu sasa huo msoto wanaopitia.
Hakuna Kijiji Tanzania kwa maisha ya mtu moja moja inaweza karibia Eldoret on average., ata Dar haiwezi., watu wenye wanafanya mechanized farming hawafananishwi na subsistence poor farmers na vijakazi jijini Dar na mikoa za Tanzania 🤣🤣🤣., ndio maana ni vigunu mno kupata a Nandi(Kalenjins)from Rift Valley kwa any slum in Kenya ama kwingineko..,
Eldoret kwa hali na mali ya raiya wake hakuna jiji Tanzania inaweza kuifikia.,
Screenshot_20240817-051017.jpg
 
View attachment 3077460
Naona umeshiba makande na chapoo unajambiana humu ndani.
Kwani nani asiyejua Kenya ni nchi ya watu wa kujikweza ilhali maisha magumu KENYA NZIMA!?
Nani asiyejua maisha ya Kenya ni ghali sana kiasi yanakandamiza raia!?
Nchi yenye maisha mazuri huwa inalia kwa higher inflation rate kama Kenya!??
Nchi yenye maisha mazuri raia wanakosa dawa za TB kiasi taifa linaomba msaada wa dawa Tanzania!?
Nchi yenye maisha mazuri raia wanaweza kuandamana kisa ugali!??
Embu kadanganye watu wengine.
Na hapo Kenya besides JKIA hakuna airport nyingine yenye ubora.
 
Unalazimisha fikra zako ndio iweje? haubadilishi ukweli ata ulie humu hadi basi.., hakuna taifa la aibu lenye raiya wake wanavuka boda kuenda kuwa omba omba kwa nchi jirani, hapa EAC ni Tanzania pekee, ata warundi na ufukara wao hawaombi ombi mitaani Kenya.., boss wacha kujitekenya penda ukweli., ndio maana World Bank wanawataja kama taifa lenye mafukara wengi zaidi wakutupwa EAC na SADC.., DHIBITISHO HII HAPA👇👇👇👇
Hii ni aibu kwa taifa., OMBA OMBA WAMETAPAKAA KENYA YOTEE, HADI VIJIJINI.., mko hovo kama taifa!!
👇 👇
1724487757535.png

1724488162651.png

1724488176150.png

1724488194227.png

1724488218211.png

1724488332869.png

Mnakera wakazi wa vijijini., hamna aibu!!!..
1724488417595.png

1724488523035.png

1724488674688.png

1724488810138.png
 
Back
Top Bottom