Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
1. Hakuna kumbato demu kwa kipindi fulani au maisha yako yote ila unaruhudiwa kupiga nyeto tu mfano mzuri chief godlike

2. Usiwape fedha ndugu zako wa damu hata iweje na siku ukifanya hivyo utafirisika vibaya.

3. Huruhusiwe kuoa maisha yako yote adi unakufa

4. Huruhusiwi kumpa fedha mama yako au baba yako mzazi

5. Huruhusiwi kuvaa suruali maisha yako yote ni pensi tu , hakuna kuvaa viatu we ni send tu.

6. Hakuna kulala kitandani , utalala chini maisha yako yote.

7. Kuwa na chumba cha siri mtu yeyote haruhusiwi isipokuwa wewe tu.

8. Sharti la kutokulala nyumbani kwako
hayo masharti ni baadhi tu yap mengi kana ushawahi pitia huko unajua
BORA KUTAFUTA TU KWA NJIA HALALI KULIKO HII YA WAGANGA MWISHO HUA NI MBAYA SANA
 
Kuna moja naona imesemwa na watu weng kwenye page ya instagram - financial confesion.

- kama ww ni mwanaume, na mfanyabiashara, bas unatakiwa kuingiliwa kinyume na maumbile au ww umuingilie kinyume mwanaume ambaye hajawai kuingiliwa.

It makes sense hasa nikiangalia utajiri wa baadhi ya waarabu na jinsi wanavyopenda kula ndogo.

Na wengne ambao wanafanya biashara ndogo alaf gafla tu ndan ya mwaka anakuwa tajiri mkubwa.

Nyuma ya baadhi ya matajiri kuna masharti magumu sana.
 
Kwani hao waganga wako ni matajiri au?
 
Hii ya kuingiliwa kinyume na maumbile hasa kwa mwanaume inaitwa " humiliation ritual"
 
Hakuna mganga atakupa utajiri.

Narudia tena hakuna mganga atakupa utajiri.

Never!!!!

Ingekua inawezekana, wazungu wangeshafanya research.

Mganga ni sawa na wale jamaa wanaouza mikeka ya kubet, sasa kama una uhakika wa kushinda bet kwa nini usiuze kila kitu chako kisha hela yooote ubetie
 
Back
Top Bottom