Hakuna mganga mwenye kumpa mtu utajiri na ndio maana hata masharti pia huwa sio ya mganga, yeye mganga huwa kama dalali tu na si kwamba yeye ndio hutoa huo utajiri.Hakuna mganga atakupa utajiri.
Narudia tena hakuna mganga atakupa utajiri.
Never!!!!
Ingekua inawezekana, wazungu wangeshafanya research.
Mganga ni sawa na wale jamaa wanaouza mikeka ya kubet, sasa kama una uhakika wa kushinda bet kwa nini usiuze kila kitu chako kisha hela yooote ubetie
kuna mwamba alienda kwa mganga mpakani huko akaambiwa awe anakula hao wadau na hasa watoto wadogo ila mambo yake yataenda poa umaarufu na fedha siju kama jamaa alifuata maelekezo ila sasa hivi ni tajiri mkubwa sana ni rafiki yangu wa akribu sana ila nina miaka miwili sijawah kuoanana nae zaidiya kuwasiliana tu kwa simu.kama ww ni mwanaume, na mfanyabiashara, bas unatakiwa kuingiliwa kinyume na maumbile au ww umuingilie kinyume mwanaume ambaye hajawai kuingiliwa.
Comment za kinafiki ..hapo kiunoni una lihirizi linapumuaBora 100 yangu ya halali kuliko 10000 yenye fedheha iv.
Kuna moja naona imesemwa na watu weng kwenye page ya instagram - financial confesion.
- kama ww ni mwanaume, na mfanyabiashara, bas unatakiwa kuingiliwa kinyume na maumbile au ww umuingilie kinyume mwanaume ambaye hajawai kuingiliwa.
It makes sense hasa nikiangalia utajiri wa baadhi ya waarabu na jinsi wanavyopenda kula ndogo.
Na wengne ambao wanafanya biashara ndogo alaf gafla tu ndan ya mwaka anakuwa tajiri mkubwa.
Nyuma ya baadhi ya matajiri kuna masharti magumu sana.
Upo tayari kuliwa Yas!Hayo yote kwangu sioni sharti gumu Kama unajua mtalaamu konki niunganishe
Kila mtu abakie na anachoamini. Kwani wauza mikeka huwa haitoboi?Hakuna mganga atakupa utajiri.
Narudia tena hakuna mganga atakupa utajiri.
Never!!!!
Ingekua inawezekana, wazungu wangeshafanya research.
Mganga ni sawa na wale jamaa wanaouza mikeka ya kubet, sasa kama una uhakika wa kushinda bet kwa nini usiuze kila kitu chako kisha hela yooote ubetie
we ni maku kweli!, kenge mkubwa huna akili kabisa, tena ***** kweli we.Comment za kinafiki ..hapo kiunoni una lihirizi linapumua
icho kichwa chako kimejaa funza kabisa!, fara mkubwa we sio kila aliyemo humu anawaza kufuga misukule na hirizi kama inavokutesa we kenge!, tena usinizoee kima we.Comment za kinafiki ..hapo kiunoni una lihirizi linapumua
Umeweka lihirizi kiunoni linakoroma krooo krooo krooo krooowe ni maku kweli!, kenge mkubwa huna akili kabisa, tena ***** kweli we.
Umeweka lihirizi kiunoni linakoroma krooo krooo krooo kroooicho kichwa chako kimejaa funza kabisa!, fara mkubwa we sio kila aliyemo humu anawaza kufuga misukule na hirizi kama inavokutesa we kenge!, tena usinizoee kima we.
Wanaume wa dar mnapenda kufirana sana ni kwanini .. Yan hata kuwaza mnawaza vifiro...Upo tayari kuliwa Yas!
Kila unae muona humu unajua yupo Dar? control mikurupukoWanaume wa dar mnapenda kufirana sana ni kwanini .. Yan hata kuwaza mnawaza vifiro...
Ukimfugulia mtu baki mradi, halafu fedha zikahudumie wazazi inakubalika?1. Hakuna kumbato demu kwa kipindi fulani au maisha yako yote ila unaruhudiwa kupiga nyeto tu mfano mzuri chief godlike
2. Usiwape fedha ndugu zako wa damu hata iweje na siku ukifanya hivyo utafirisika vibaya.
3. Huruhusiwe kuoa maisha yako yote adi unakufa
4. Huruhusiwi kumpa fedha mama yako au baba yako mzazi
5. Huruhusiwi kuvaa suruali maisha yako yote ni pensi tu , hakuna kuvaa viatu we ni send tu.
6. Hakuna kulala kitandani , utalala chini maisha yako yote.
7. Kuwa na chumba cha siri mtu yeyote haruhusiwi isipokuwa wewe tu.
8. Sharti la kutokulala nyumbani kwako
hayo masharti ni baadhi tu yap mengi kana ushawahi pitia huko unajua
BORA KUTAFUTA TU KWA NJIA HALALI KULIKO HII YA WAGANGA MWISHO HUA NI MBAYA SANA
Kama mtu ana kubali kuua watu ili abaki madarakani, mm nishundwe mashariti kidogo hivyo nipe mamba ya huyo maalamu chapu.1. Hakuna kumbato demu kwa kipindi fulani au maisha yako yote ila unaruhudiwa kupiga nyeto tu mfano mzuri chief godlike