Kwani hao waganga wako ni matajiri au?1. Hakuna kumbato demu kwa kipindi fulani au maisha yako yote ila unaruhudiwa kupiga nyeto tu mfano mzuri chief godlike
2. Usiwape fedha ndugu zako wa damu hata iweje na siku ukifanya hivyo utafirisika vibaya.
3. Huruhusiwe kuoa maisha yako yote adi unakufa
4. Huruhusiwi kumpa fedha mama yako au baba yako mzazi
5. Huruhusiwi kuvaa suruali maisha yako yote ni pensi tu , hakuna kuvaa viatu we ni send tu.
6. Hakuna kulala kitandani , utalala chini maisha yako yote.
7. Kuwa na chumba cha siri mtu yeyote haruhusiwi isipokuwa wewe tu.
8. Sharti la kutokulala nyumbani kwako
hayo masharti ni baadhi tu yap mengi kana ushawahi pitia huko unajua
BORA KUTAFUTA TU KWA NJIA HALALI KULIKO HII YA WAGANGA MWISHO HUA NI MBAYA SANA
Unatafuta za kupatia ukimwi na kufa mapema.Yani unahela halafu mbusus uziangalie tu, sasa unatafuta za nn
Lazima totoz ziliwe mkuu, huo utajiri wa masharti wakae nao tuUnatafuta za kupatia ukimwi na kufa mapema.
Hii ya kuingiliwa kinyume na maumbile hasa kwa mwanaume inaitwa " humiliation ritual"Kuna moja naona imesemwa na watu weng kwenye page ya instagram - financial confesion.
- kama ww ni mwanaume, na mfanyabiashara, bas unatakiwa kuingiliwa kinyume na maumbile au ww umuingilie kinyume mwanaume ambaye hajawai kuingiliwa.
It makes sense hasa nikiangalia utajiri wa baadhi ya waarabu na jinsi wanavyopenda kula ndogo.
Na wengne ambao wanafanya biashara ndogo alaf gafla tu ndan ya mwaka anakuwa tajiri mkubwa.
Nyuma ya baadhi ya matajiri kuna masharti magumu sana.
Zikule tu ila chunga usililwe na wadudu harakaLazima totoz ziliwe mkuu, huo utajiri wa masharti wakae nao tu
Ni biashara na imani.Muulize godliness au nenda waulize wakinga pale kariakoo