Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

Hakuna mganga mwenye kumpa mtu utajiri na ndio maana hata masharti pia huwa sio ya mganga, yeye mganga huwa kama dalali tu na si kwamba yeye ndio hutoa huo utajiri.

Suala la kufanyia uchunguzi hutegemea na maamuzi tu yao ndio maana pia afrika tuna tiba asili nyingi tu ambazo wazungu hawajazifanyia utafiti, hivyo si ajabu hata hilo la utajiri kutolifanyia utafiti hasa ukizingatia halipo kisayansi ni la kiimani.
 
Bora 100 yangu ya halali kuliko 10000 yenye fedheha iv.
 
kama ww ni mwanaume, na mfanyabiashara, bas unatakiwa kuingiliwa kinyume na maumbile au ww umuingilie kinyume mwanaume ambaye hajawai kuingiliwa.
kuna mwamba alienda kwa mganga mpakani huko akaambiwa awe anakula hao wadau na hasa watoto wadogo ila mambo yake yataenda poa umaarufu na fedha siju kama jamaa alifuata maelekezo ila sasa hivi ni tajiri mkubwa sana ni rafiki yangu wa akribu sana ila nina miaka miwili sijawah kuoanana nae zaidiya kuwasiliana tu kwa simu.

Siku hizi shetan anakupa chochote ukikubali kumnyenyekea ila cha kwanza lazima avue utu wako hebu fikiri unapesa, maarufu ila wadau wanakuzibua hadi unatembea na pempasi
 

Hii sikuwahi kuijua, Kwamba lazima umpake mwanaume mwenzako mafuta njia ya haja kubwa ili uwe Tajiri???

Hii bado haijaniingia akili
 
Kila mtu abakie na anachoamini. Kwani wauza mikeka huwa haitoboi?
 
Comment za kinafiki ..hapo kiunoni una lihirizi linapumua
icho kichwa chako kimejaa funza kabisa!, fara mkubwa we sio kila aliyemo humu anawaza kufuga misukule na hirizi kama inavokutesa we kenge!, tena usinizoee kima we.
 
hakuna kitu kama hicho ushirikina ni kwa watu wenye akili ndogo being rich is not easy .
 
Haya yote ukiyachunguza wengi wa walioandika ni vile hawana ndoto kubwa na kutaka kufikia kilele cha mfanikio,

Unasema waganga kuwa ni akili finyu
Wasomi wetu...why miaka fulani albino waliteseka?
Why kila wakati wizara zinakula hasara?
Why biashara ya viungo inachangamka mpk unashangaa mwenyewe
Maduro anashitakiwa kwa kosa gani?
Leo biashara ya damu(vita) inazidi kuchemka why wasitumie hizo njia halali za maxungumzo ya kiboashara ili congo,mashariki ya kati wakae kwa amani?

Hv Kuba uchawi mbaya km kuoandikiza gaidi alaf hilo gaidi likaua watu weee then likarudi kuwa Rais?
Ebu fikirieni wenyewe kuhusu magonjwa pandikizi mfano tu CORONA hapo juzi tu imepita na watu wangapi km ni kafara wangapi wametembea?
Ko siyo kila anaetafuta mafanikio kwa njia usiyoijua wewe au usiyoiamini rti useme ana akili finyu,no usikute wewe ndie mweny ufinyu huo wa kuwaza,maana dunia huteswa na deep state wanaofinya mambo yao kwa sayansi za giza!!!!
 
icho kichwa chako kimejaa funza kabisa!, fara mkubwa we sio kila aliyemo humu anawaza kufuga misukule na hirizi kama inavokutesa we kenge!, tena usinizoee kima we.
Umeweka lihirizi kiunoni linakoroma krooo krooo krooo krooo
 
Ukimfugulia mtu baki mradi, halafu fedha zikahudumie wazazi inakubalika?
 
Kama mtu ana kubali kuua watu ili abaki madarakani, mm nishundwe mashariti kidogo hivyo nipe mamba ya huyo maalamu chapu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…