MD SPECIAL
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,161
- 2,812
watu mnawaza tu ushirikina utadhani duniani watu wote tunategemea ushirikina ili kuishi!, wengine Mungu alishatupa mibaraka tele tunapeta tu na utajiri na mali pasipo chembe ya ushirikina wako huo kwa raha zote.Umeweka lihirizi kiunoni linakoroma krooo krooo krooo krooo
Achana na waarabu, wana utajiri wa asili.Kuna moja naona imesemwa na watu weng kwenye page ya instagram - financial confesion.
- kama ww ni mwanaume, na mfanyabiashara, bas unatakiwa kuingiliwa kinyume na maumbile au ww umuingilie kinyume mwanaume ambaye hajawai kuingiliwa.
It makes sense hasa nikiangalia utajiri wa baadhi ya waarabu na jinsi wanavyopenda kula ndogo.
Na wengne ambao wanafanya biashara ndogo alaf gafla tu ndan ya mwaka anakuwa tajiri mkubwa.
Nyuma ya baadhi ya matajiri kuna masharti magumu sana.
Kwenye kutaka kuwa tajiri kuna mengi sana sio lazima iwe masuala ya waganga tu, hivyo kama umeridhika na maisha yako ni jambo jema.Hebu fikiria nina pikipiki yng inaingiza +35k kwa siku na ninauwezo waku fanya yoye hayo, ya nini kwenda kwa manga?🇨🇩