Haya ni matukio yanayoongoza kupoteza furaha na amani ya watu, Endelea kuyasikiaga tu yasije kukupata

Haya ni matukio yanayoongoza kupoteza furaha na amani ya watu, Endelea kuyasikiaga tu yasije kukupata

Shida kubwa kuliko zote ni basic needs yaani ukikosa hizo hata muda wa kuwaza mengine unakuwa hauna...; in short ukiangalai Hierarchy of Needs utaona kwamba ukipata za chini ndio unapata muda wa kuwaza kutafuta za juu

1712484923250.png
 
Kuna ile mgeni anabisha hodi mlangoni,unaenda kumfungilia tu unajikwa kidole gumba ukuvha unatoka.

Maumivu yake unaweza kumtukana aliyebisha hodi hata kama ni babaako .
 
Back
Top Bottom