Haya ni matukio yanayoongoza kupoteza furaha na amani ya watu, Endelea kuyasikiaga tu yasije kukupata

Mkuu hujawahi kusubiria pisi na ikachelewa? Utakaa kuchungulia dirishani kama mtoto wa kihindi aliefungiwa geti
Hiyo ya kusubiria pisi ina option, ukiona hauwezi kusubiria chap unaenda kwenye danguro kupunguza hasira mana kichwa cha chini kikichachamaa, cha juu hakifanyi kazi!
 
Hiyo ya kusubiria pisi ina option, ukiona hauwezi kusubiria chap unaenda kwenye danguro kupunguza hasira mana kichwa cha chini kikichachamaa, cha juu hakifanyi kazi!
Wewe kubalitu hujawahi chomeshwa mahindi
 
Hivi ushawahi kusomesha mchumba akaolewa na mchimba chumvi mwingine na wala hawajali?
Mke wako ashawahi kuzaa na mtu mwingine?
Hivi ushawahi fukuzwa kanisani au msikitini?
Wewe achatu yanayoumiza nimengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…