mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Umaskini wa wakulima Tanzania unachangiwa kwa asilimia 50% na Serikali na asilimia inayobaki ni matokeo ya majanga, mkulima mwenyewe nk, kwa nini Serikali inachangia asilimia kubwa ya umaskini kwa wakulima ni kuwapangia bei, soko na kuwaundia wakulima sera za ajabu ambazo mwisho wa siku huathiri mkulima.
Moja ya eneo ambalo Serikali imekuwa ikiwaumiza sana wakulima ni sera ya kufunga mipaka kwa kigezo Cha nchi kuwa Ina njaa na kuthibiti mfumuko wa bei, mkulima analima, anahangaika, anateseka then mwisho mwa mavuno Serikali inafunga mipaka, hili linamlazimisha mkulima kuuza kwa bei ndogo mazao yake kwa sababu hamna compentions ya wananuzi kwa kulifahamu hili, kilimo huonekana kama ni laana na kazi ya wajinga tu .
Kuna mazao ukiyalima utapangiwa wapi uuze, lini na kwa bei gani, na kuna mazao ukilima kutokana na nature yake Serikali imeshindwa kuwa na sera ya moja kwa moja. Mazao haya usiguse kulima unajiandaa kupanic na kuwa maskini
1. Mahindi, Moja ya wakulima wanaochezewa mno ni wakulima wa mahindi, kidogo tu mahindi yamezuiwa kutoka nje, kidogo tu mahindi ni ruksa kwenda nje, mara Serikali imeamua itanunua mahindi kwa bei ya 500tsh kwa kilo ili mradi, effect yake ni kwamba ili upate pesa kupitia mahindi unahitaji uwe na hisia Kali sana.
2. Kahawa, parachichi, chai, tumbaku nk na mazao ya biashara kiujumla , huku serikali hupanga kodi na mrundikano wa tozo kiasi kwamba hata soko liwe zuri vipi, mkulima hupata pesa ndogo ambayo haiendani na jitahada zake.
Mazao haya serikali imeshindwa kupanga bei kabisa na kushindwa kuathiri wanunuzi kiasi kwamba unalima with hope kuwa nitapata faida , na unakuwa na uhakika kama bei zikiyumba ni matakeo ya kanuni ya demands and supply.
1. Mpunga hata serikali waje na sera gani ukilima mpunga na ukafanikiwa kuwa na mavuno ya kutosha wewe tunza store tu, ukianza kuuza mwezi December faida ipo, ni mwaka mmoja tu mpunga ulizingua ni kipindi Serikali ya Kikwete iliagiza mpunga Toka China, mpunga ukiuza December Piga ua market is there hata kwa kuuza soko la ndani Bado lazima baada ya mauzo utacheka tu nakujiona mwamba
2. Viazi mviringo Huwa mimi nikiita first lady unajua kwa nini kinachoamua soko la viazi ni demand and supply, ukilima kiazi faida ipo tu muhimu kipeto Cha debe sita kiuzwe kuanzia 30000 ,hapa faida ipo tu.
3. Ndizi, hili zao linafanana sana na viazi , shida ya ndizi huwezi zalisha kwa wingi kwa sababu ni selective sana na hali ya hewa na udonngo ni maeneo machache sana ya nchi hii unaweza kulima ndizi kwa faida na bei za ardhi huko ni kubwa sana na uzalishaji wake Huwa kama salary tu zinakupatia pesa kidogo kidogo karibu mwaka mzima.
4.ngano Lima unavyojua wewe, soko lipo pale 5. Mazao ya viungo kasoro tu tangawizi haya faida ipo muhimu unazalisha kiasi gani.