chiziwafursa
JF-Expert Member
- May 22, 2024
- 558
- 827
Hapa safi πππππMpunga hata serikali waje na sera gani ukilima mpunga na ukafanikiwa kuwa na mavuno ya kutosha wewe tunza store tu, ukianza kuuza mwezi December faida ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa safi πππππMpunga hata serikali waje na sera gani ukilima mpunga na ukafanikiwa kuwa na mavuno ya kutosha wewe tunza store tu, ukianza kuuza mwezi December faida ipo
Umeandika kibiashara zaidi.Umeandika kikulima sana
Kilimo labda ununue mazao lakini siyo kulima utakufa kwa kihoro- utakosa bei na utavuna mavuno usiyoyategemea.
Hahahaha,π€£π€£ safi sana.Namavidole makubwa sana heri nyie mliopewa vidole vya kike vinaenea jwenye keypard. Kidole changu kinagusa herufi tatu kwa mpigo na sina mda wa ku edit.
Heri yenu mliopewa tuvidole twa kike.
Sisi wengine tulitaka kuwa ma giant hadi vidole.
Mwanzoni nilidhani ni matatizo ta techno kumbe hata Samsung yale yale. Heri yenu mliopewa tuvidole twa kike.
πππ waambie ndio maana hata jina lako ni Tangatika na sio Tanganyika.Namavidole makubwa sana heri nyie mliopewa vidole vya kike vinaenea jwenye keypard. Kidole changu kinagusa herufi tatu kwa mpigo na sina mda wa ku edit.
Heri yenu mliopewa tuvidole twa kike.
Sisi wengine tulitaka kuwa ma giant hadi vidole.
Mwanzoni nilidhani ni matatizo ta techno kumbe hata Samsung yale yale. Heri yenu mliopewa tuvidole twa kike.
mi binafsi ni muumini wa yale mazao yasiyo ya msimu,kama ndiziUmeandika kibiashara zaidi.
Haiwezekani tuache kulima tugeukie ulanguzi wa mazao!
Nani atalima?
Kila kazi ina changamoto zake, kikubwa kuzijua na hivyo kujiandaa kukabiliana nazo.
Lakini lazima tulime.
Kilimo cha mboga, matunda na viungo ndiyo kinachoweza kubadilisha maisha ya mkulima, lakini pamoja na changamoto lazima tulime chakula kwa wingi maana tunakihitaji.mi binafsi ni muumini wa yale mazao yasiyo ya msimu,kama ndizi
ila hAYA ya msimu, mimi ni big no
Alizeti??, mbaazi? Miogo?Umaskini wa wakulima Tanzania unachangiwa kwa asilimia 50% na Serikali na asilimia inayobaki ni matokeo ya majanga, mkulima mwenyewe nk, kwa nini Serikali inachangia asilimia kubwa ya umaskini kwa wakulima ni kuwapangia bei, soko na kuwaundia wakulima sera za ajabu ambazo mwisho wa siku huathiri mkulima.
Moja ya eneo ambalo Serikali imekuwa ikiwaumiza sana wakulima ni sera ya kufunga mipaka kwa kigezo Cha nchi kuwa Ina njaa na kuthibiti mfumuko wa bei, mkulima analima, anahangaika, anateseka then mwisho mwa mavuno Serikali inafunga mipaka, hili linamlazimisha mkulima kuuza kwa bei ndogo mazao yake kwa sababu hamna compentions ya wananuzi kwa kulifahamu hili, kilimo huonekana kama ni laana na kazi ya wajinga tu .
Kuna mazao ukiyalima utapangiwa wapi uuze, lini na kwa bei gani, na kuna mazao ukilima kutokana na nature yake Serikali imeshindwa kuwa na sera ya moja kwa moja. Mazao haya usiguse kulima unajiandaa kupanic na kuwa maskini
1. Mahindi, Moja ya wakulima wanaochezewa mno ni wakulima wa mahindi, kidogo tu mahindi yamezuiwa kutoka nje, kidogo tu mahindi ni ruksa kwenda nje, mara Serikali imeamua itanunua mahindi kwa bei ya 500tsh kwa kilo ili mradi, effect yake ni kwamba ili upate pesa kupitia mahindi unahitaji uwe na hisia Kali sana.
2. Kahawa, parachichi, chai, tumbaku nk na mazao ya biashara kiujumla , huku serikali hupanga kodi na mrundikano wa tozo kiasi kwamba hata soko liwe zuri vipi, mkulima hupata pesa ndogo ambayo haiendani na jitahada zake.
Mazao haya serikali imeshindwa kupanga bei kabisa na kushindwa kuathiri wanunuzi kiasi kwamba unalima with hope kuwa nitapata faida , na unakuwa na uhakika kama bei zikiyumba ni matakeo ya kanuni ya demands and supply.
1. Mpunga hata serikali waje na sera gani ukilima mpunga na ukafanikiwa kuwa na mavuno ya kutosha wewe tunza store tu, ukianza kuuza mwezi December faida ipo, ni mwaka mmoja tu mpunga ulizingua ni kipindi Serikali ya Kikwete iliagiza mpunga Toka China, mpunga ukiuza December Piga ua market is there hata kwa kuuza soko la ndani Bado lazima baada ya mauzo utacheka tu nakujiona mwamba
2. Viazi mviringo Huwa mimi nikiita first lady unajua kwa nini kinachoamua soko la viazi ni demand and supply, ukilima kiazi faida ipo tu muhimu kipeto Cha debe sita kiuzwe kuanzia 30000 ,hapa faida ipo tu.
3. Ndizi, hili zao linafanana sana na viazi , shida ya ndizi huwezi zalisha kwa wingi kwa sababu ni selective sana na hali ya hewa na udonngo ni maeneo machache sana ya nchi hii unaweza kulima ndizi kwa faida na bei za ardhi huko ni kubwa sana na uzalishaji wake Huwa kama salary tu zinakupatia pesa kidogo kidogo karibu mwaka mzima.
4.ngano Lima unavyojua wewe, soko lipo pale 5. Mazao ya viungo kasoro tu tangawizi haya faida ipo muhimu unazalisha kiasi gani.
Kiazi kikiuzwa debe 5000 faida ipo , Kuna msimu vinatembea hadi 12,000 kwa bei ya shambani hapo lazima uokote pesaGunia la debe sita la viazi eti 30,000 we jamaa ni mwehu. Viazi huuzwa kwenye kiroba cha debe tatu ambacho bei hupanda hadi 60,000.
Itabidi nianze kutumia keyboard ya nje. Ile haichapiagi.πππ waambie ndio maana hata jina lako ni Tangatika na sio Tanganyika.
Acha uongo wewe mimi nalima korosho,ufuta na mbaazi na napiga hela vizuri tu...humu ndani wengi wenu hamjawahi hata kulima zaidi ya kujifanya wajuaji tu wa kila jamboMazao yote ambayo Serikali imeyaundia bodi ukilima hauwezi toboa.
Bodi ya Korosho
Bodi ya Tumbaku
Bodi ya Pamba
Bodi ya Kahawa
Bodi ya Pareto
Bodi ya Mazao mchanganyiko (humo kuna ufuta, mbaazi, n.k)
Hizi bodi ni wakala wa Serikali kumfilisi mkulima
Tukusikilize wewe basi ndugu yangu.Mkuu samahani kwa kusema kwamba hujui lolote kuhusu mazao achilia mbali kuandika.
SawaUmaskini wa wakulima Tanzania unachangiwa kwa asilimia 50% na Serikali na asilimia inayobaki ni matokeo ya majanga, mkulima mwenyewe nk, kwa nini Serikali inachangia asilimia kubwa ya umaskini kwa wakulima ni kuwapangia bei, soko na kuwaundia wakulima sera za ajabu ambazo mwisho wa siku huathiri mkulima.
Moja ya eneo ambalo Serikali imekuwa ikiwaumiza sana wakulima ni sera ya kufunga mipaka kwa kigezo Cha nchi kuwa Ina njaa na kuthibiti mfumuko wa bei, mkulima analima, anahangaika, anateseka then mwisho mwa mavuno Serikali inafunga mipaka, hili linamlazimisha mkulima kuuza kwa bei ndogo mazao yake kwa sababu hamna compentions ya wananuzi kwa kulifahamu hili, kilimo huonekana kama ni laana na kazi ya wajinga tu .
Kuna mazao ukiyalima utapangiwa wapi uuze, lini na kwa bei gani, na kuna mazao ukilima kutokana na nature yake Serikali imeshindwa kuwa na sera ya moja kwa moja. Mazao haya usiguse kulima unajiandaa kupanic na kuwa maskini
1. Mahindi, Moja ya wakulima wanaochezewa mno ni wakulima wa mahindi, kidogo tu mahindi yamezuiwa kutoka nje, kidogo tu mahindi ni ruksa kwenda nje, mara Serikali imeamua itanunua mahindi kwa bei ya 500tsh kwa kilo ili mradi, effect yake ni kwamba ili upate pesa kupitia mahindi unahitaji uwe na hisia Kali sana.
2. Kahawa, parachichi, chai, tumbaku nk na mazao ya biashara kiujumla , huku serikali hupanga kodi na mrundikano wa tozo kiasi kwamba hata soko liwe zuri vipi, mkulima hupata pesa ndogo ambayo haiendani na jitahada zake.
Mazao haya serikali imeshindwa kupanga bei kabisa na kushindwa kuathiri wanunuzi kiasi kwamba unalima with hope kuwa nitapata faida , na unakuwa na uhakika kama bei zikiyumba ni matakeo ya kanuni ya demands and supply.
1. Mpunga hata serikali waje na sera gani ukilima mpunga na ukafanikiwa kuwa na mavuno ya kutosha wewe tunza store tu, ukianza kuuza mwezi December faida ipo, ni mwaka mmoja tu mpunga ulizingua ni kipindi Serikali ya Kikwete iliagiza mpunga Toka China, mpunga ukiuza December Piga ua market is there hata kwa kuuza soko la ndani Bado lazima baada ya mauzo utacheka tu nakujiona mwamba
2. Viazi mviringo Huwa mimi nikiita first lady unajua kwa nini kinachoamua soko la viazi ni demand and supply, ukilima kiazi faida ipo tu muhimu kipeto Cha debe sita kiuzwe kuanzia 30000 ,hapa faida ipo tu.
3. Ndizi, hili zao linafanana sana na viazi , shida ya ndizi huwezi zalisha kwa wingi kwa sababu ni selective sana na hali ya hewa na udonngo ni maeneo machache sana ya nchi hii unaweza kulima ndizi kwa faida na bei za ardhi huko ni kubwa sana na uzalishaji wake Huwa kama salary tu zinakupatia pesa kidogo kidogo karibu mwaka mzima.
4.ngano Lima unavyojua wewe, soko lipo pale 5. Mazao ya viungo kasoro tu tangawizi haya faida ipo muhimu unazalisha kiasi gani.
π πUnazingua ujue unaijua serikal
Yaani badala ya kupinga Kwa hoja wanaishia kusema tu amekosea πTukusikilize wewe basi ndugu yangu.
NotedKatika yote NGANO......NGANO DILI SANA....serikali iliyaua mashamba ya NAFCO Basotu.....wanatoa vibali watu wana Import ngano kimya kimya....lakini hata hivyo...bado ukilima itakulipa tu π