Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa.
Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini.
Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress.
Hizo press za Polepole na hekaya za Mange Kimambi zimewasaidia nini mpaka sasa?
Mkiitwa matahira mnafura.
Eti Mange Kimambi anawaambia wajinga kuwa sasa ndio mda pekee wa kuikomboa nchi. Mkishindwa sasa basi tena. Yeye huku anaendelea kuwapiga pesa wajinga kwa habari za uongo na uzushi. Eti wanajeshi hawamtaki Samia, hawamtaki Mgunda. Uongo mkubwa. Mange anawapiga pesa wajinga nyie kwa kuongea vitu ambavyo nyie Watanzania ndio mnamtumia, na akikosa umbea anabuni lolote tu ili awajaze upepo.
Sasa nawaambia jambo.
Let's assume ni kweli wanajeshi wamemchoka Rais Samia na CDF Mgunda, anzisheni maandamano kesho muone jinsi wanajeshi watakavyowaunga mkono.
Nyie si matahira mnaamini kila jambo.
Polisi wako wachache hawawezi kudeal na waandamanaji zaidi ya million 30.
Wanajeshi Elfu 50 watawaunga mkono nyie na kuwasaliti polisi. Pia kuna wanajeshi wa akiba zaidi ya laki mbili wa mgambo, jkt na wastaafu watawaunga mkono nyie wafuasi wa Polepole.