Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Chawa hatumwi......Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa.
Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini.
Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress.
Hizo press za Polepole na hekaya za Mange Kimambi zimewasaidia nini mpaka sasa?
Mkiitwa matahira mnafura.
Eti Mange Kimambi anawaambia wajinga kuwa sasa ndio mda pekee wa kuikomboa nchi. Mkishindwa sasa basi tena. Yeye huku anaendelea kuwapiga pesa wajinga kwa habari za uongo na uzushi. Eti wanajeshi hawamtaki Samia, hawamtaki Mgunda. Uongo mkubwa. Mange anawapiga pesa wajinga nyie kwa kuongea vitu ambavyo nyie Watanzania ndio mnamtumia, na akikosa umbea anabuni lolote tu ili awajaze upepo.
Sasa nawaambia jambo.
Ni kweli wanajeshi wamemchoka Rais Samia na CDF Mgunda, anzisheni maandamano kesho muone jinsi wanajeshi watakavyowaunga mkono.
Nyie si matahira mnaamini kila jambo.
Polisi wako wachache hawawezi kudeal na waandamanaji million 30.
Wanajeshi Elfu 50 watawaunga mkono nyie na kuwasaliti polisi.
unaongea UTOTO. Kumbuka PEOPLE SPEAK AT PEOPLE NOT TO PEOPLEWapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa.
Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini.
Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress.
Hizo press za Polepole na hekaya za Mange Kimambi zimewasaidia nini mpaka sasa?
Mkiitwa matahira mnafura.
Eti Mange Kimambi anawaambia wajinga kuwa sasa ndio mda pekee wa kuikomboa nchi. Mkishindwa sasa basi tena. Yeye huku anaendelea kuwapiga pesa wajinga kwa habari za uongo na uzushi. Eti wanajeshi hawamtaki Samia, hawamtaki Mgunda. Uongo mkubwa. Mange anawapiga pesa wajinga nyie kwa kuongea vitu ambavyo nyie Watanzania ndio mnamtumia, na akikosa umbea anabuni lolote tu ili awajaze upepo.
Sasa nawaambia jambo.
Let's assume ni kweli wanajeshi wamemchoka Rais Samia na CDF Mgunda, anzisheni maandamano kesho muone jinsi wanajeshi watakavyowaunga mkono.
Nyie si matahira mnaamini kila jambo.
Polisi wako wachache hawawezi kudeal na waandamanaji zaidi ya million 30.
Wanajeshi Elfu 50 watawaunga mkono nyie na kuwasaliti polisi. Pia kuna wanajeshi wa akiba zaidi ya laki mbili wa mgambo, jkt na wastaafu watawaunga mkono nyie wafuasi wa Polepole.
Wengi humu ndo hao hao. Si unaona swali lake? Anataka tu kujuwa next moves etc.unaongea UTOTO. Kumbuka PEOPLE SPEAK AT PEOPLE NOT TO PEOPLE
Pangilia vizuri hoja zako uelewekeWapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa.
Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini.
Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress.
Hizo press za Polepole na hekaya za Mange Kimambi zimewasaidia nini mpaka sasa?
Mkiitwa matahira mnafura.
Eti Mange Kimambi anawaambia wajinga kuwa sasa ndio mda pekee wa kuikomboa nchi. Mkishindwa sasa basi tena. Yeye huku anaendelea kuwapiga pesa wajinga kwa habari za uongo na uzushi. Eti wanajeshi hawamtaki Samia, hawamtaki Mgunda. Uongo mkubwa. Mange anawapiga pesa wajinga nyie kwa kuongea vitu ambavyo nyie Watanzania ndio mnamtumia, na akikosa umbea anabuni lolote tu ili awajaze upepo.
Sasa nawaambia jambo.
Let's assume ni kweli wanajeshi wamemchoka Rais Samia na CDF Mgunda, anzisheni maandamano kesho muone jinsi wanajeshi watakavyowaunga mkono.
Nyie si matahira mnaamini kila jambo.
Polisi wako wachache hawawezi kudeal na waandamanaji zaidi ya million 30.
Wanajeshi Elfu 50 watawaunga mkono nyie na kuwasaliti polisi. Pia kuna wanajeshi wa akiba zaidi ya laki mbili wa mgambo, jkt na wastaafu watawaunga mkono nyie wafuasi wa Polepole.
Haya wewe unaaminije kama yanayosemwa na Mange si ya kweli? Tupe majibu usiishie kuita watu wajingaWapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa.
Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini.
Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress.
Hizo press za Polepole na hekaya za Mange Kimambi zimewasaidia nini mpaka sasa?
Mkiitwa matahira mnafura.
Eti Mange Kimambi anawaambia wajinga kuwa sasa ndio mda pekee wa kuikomboa nchi. Mkishindwa sasa basi tena. Yeye huku anaendelea kuwapiga pesa wajinga kwa habari za uongo na uzushi. Eti wanajeshi hawamtaki Samia, hawamtaki Mgunda. Uongo mkubwa. Mange anawapiga pesa wajinga nyie kwa kuongea vitu ambavyo nyie Watanzania ndio mnamtumia, na akikosa umbea anabuni lolote tu ili awajaze upepo.
Sasa nawaambia jambo.
Let's assume ni kweli wanajeshi wamemchoka Rais Samia na CDF Mgunda, anzisheni maandamano kesho muone jinsi wanajeshi watakavyowaunga mkono.
Nyie si matahira mnaamini kila jambo.
Polisi wako wachache hawawezi kudeal na waandamanaji zaidi ya million 30.
Wanajeshi Elfu 50 watawaunga mkono nyie na kuwasaliti polisi. Pia kuna wanajeshi wa akiba zaidi ya laki mbili wa mgambo, jkt na wastaafu watawaunga mkono nyie wafuasi wa Polepole.
Hatuna matumaini yeyote . Tuna maumivu Tanganyika yetu yenye rasilimali nyingi inatafunywa na wacahache kama nyie msiojali chochote.Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa.