Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
wengi wao madishi yameyumba,,akimaliza hapo anaenda kuvuta elfu 1 yake ya uchawa akisikilizia teuzi kwa mbaliUvccm ni kama sigara nyota, leo wamekuwa wenye dunia si mliwaambia Who are you.
Hao vibaka wapenda utajiri bila mtaji lzm waje hapa na matusi gunia nane.Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
mkuu hakuna chawa anayeweza kukuelewa hapo....wanadhani ICC inaendeshwa kama kisutuMkuu una haraka ya nini,haya mambo Yana hatua zake, ICC haikurupuki Wala sio kangaroo court kama za Tanganyika akisema Samia kumfunga Lissu basi anafungwa.
Kwa sasa ICC hakuna kesi rasmi iliyofunguliwa, bali kuna mchakato wa tathmini ya awali (preliminary assessment) unaoendelea kwa maombi yaliyowasilishwa ili kuona kama Kuna jinai au lah.
Kuwa mvumilivu,kufikia mwezi wa tatu utapata majibu mazuri sana
Nashauri ambaye wewe siyo mjinga ujijibu swali lako. Sijui kama kuna. mwelevu asiye mpumbavu achia mbali kuwa mjinga kama sisi anaweza kutaka wale anaotuona wajinga tumjibu swale la kijinga analoona ni la kiweledi. Kwa ID yako naona chawa na si binadamu mwenye akili hata mbaya bali mdudu anayenuka apendaye uchafu na uoza mbali na unyonyaji.Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
Hakuna kipindi kina fursa kama hiki......Kuna wajanja wako zao liwale huko wanajipigia Hela kama hawana akili nzuri Huku hii yenyewe ikiwa unazubaa Huku mitandaoni ikiongozwa na mange na maria kumzushia Samia kifo🤣🤣🤣Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
Liwale kuna pesa kama njugu.Mijinga na mipumbavu sana hii. Hakuna kipindi kina fursa kama hiki......Kuna wajanja wako zao liwale huko wanajipigia Hela kama hawana akili nzuri Huku hii yenyewe ikiwa unazubaa Huku mitandaoni ikiongozwa na mange na maria kumzushia Samia kifo🤣🤣🤣
Mijinga kweli hii!!!!
Bahati yako hakuna reaction emoji ya Dole 😬Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
Halafu baadae hao walioshitakiwa ndo hao maraisi Sasa, au sio?!!🤣🤣🤣 Uwe unamaliza kabisa stori usiishie kati.Mauji Kenya yalifanyika 2007 kesi zilianza 2010 kwa akili zemu za CCM mnadhani dunia imesahau?
Haijalishi, tusichokitaka sisi ni kitiharibia nchi tu basi, tutailinda hata miaka 1000 ijayo.KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.
KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.