Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

Sana aisee. Kuna jamaa ameenda juzi tu na kamtaji kake ka milioni 5, Leo hii anamiliki nyumba ya milioni 45 dar, gari na hataki kabisa kusikia habari za kuhama huko. Hii mipumbavu inakalishwa na maria hapa eti kumtoa Samia wachukue wao madaraka. Nyambaaaf!!!
 
sijui wangefanikiwa Rais angekuwa nani.
 


ICC wanamlia timing atoke tu aende nchi za mabeberu wamtangazie Arrest Warrant huko huko juu kwa juu wanamnyaka chapuuu wanamsukumia selo zao...hapo hutoki mkuu...chukulia mfano wa nchi kama Belgium wasikie ana arrest warrant mbona fasta tu wanamdondosha pale the HAGUE...!
 
Omar Al Bashir alihukumiwa na mahakama ya ya ICC akaiita ni mahakama ya kipumbavu na akaendelea kuongoza sudan zaidi ya miaka 7

Na kuonyesha kuwa ni mahakama kijinga Omar Al Bashir akaenda kutembelea South Africa nchi ambayo ni wanachama wa ICC lakini bado walishindwa kumkamata wakabaki wananung'unika tu.

Hiyo ni mahakama ya kijinga, kwahiyo ukileta ujinga wako wa kihalifu hapa Tz ukataka kutuletea machafuko yasiyo na kichwa wala miguu, unachoma vituo vya mafuta, vya polisi, mali za watu na za umma utapigwa risasi bila huruma yoyote na hiyo mahakama yenu ya kijinga ya ICC haitawasaidia chochote.

Amani ya nchi hii italindwa kwa gharama zozote ukiona hapakufai hama , kana uraia kaombe uraia nchi nyingine ila ukijidai mwendawazimu utamlaumu mzazi wako kwanini hajakufundisha adabu ukiwa kaburini.
 

Sawa. Vipi kuhusu wale waliofatwa msikitini wakiwa wanaswali wakapigwa za vichwa na hawakuwepo kwenye maandamano, na mbaya zaidi mkawazika kibabe bila watoto wao kujua makaburi ya wazazi...Hawa mayatima mnawasaidiaje??? Au waendeleze visomo vyao haki yao ipatikane katika mahakama ya MUNGU ambayo haibi kura, haiteki, haiui, haifanyi ufisadi, haiuzi RASIMALI za nchi kuweza kusaidia kupunguza gharama za Maisha,n.k.
 
kesi yake anaishikilia Lord Denning
 
heshimu mamlaka ilio juu yako
 
ICC ni kikundi cha wapiga pesa za UN, ata tuseme wangetoa arrest warrant hawana uwezo wa kumkamata kwani mamalaka yao hayana uhusiano na kuingia kwenye mpaka wa nchi husika.and whats worse hawana jeshi au mgambo wa kukamata ni mpaka mtu aende mwenyewe kuskiliza kesi
 
🤣 🤣 tatizo lako husomagi bali unapenda kuskiliza story za vijiweni, yaani umekaa na vijana wenzako mkaambizana ICC inaweza kuingia nchini ikamkamata president na kuondoka nae 🤣
Yaani wewe ndo wa kunifundisha mimi kuhusu ICC?
 
Hakuna kipindi kina fursa kama hiki......Kuna wajanja wako zao liwale huko wanajipigia Hela kama hawana akili nzuri Huku hii yenyewe ikiwa unazubaa Huku mitandaoni ikiongozwa na mange na maria kumzushia Samia kifo🤣🤣🤣
Liwale kuna nn??
 
Unataka kwenda kulikwapua,huko siyo kisutu ujue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…