akilindefu
Member
- Sep 5, 2020
- 69
- 67
Habari wana jukwaa. Leo nimeamua kushusha uzi kwa wale play boy wote tujuane kwa sifa zetu mi naanza na zangu kama ifuatavyo 1.naeza fanya chochote ili nimpate dem 2.nikishamtumia tu hata cm yake sipokei au ntakucheki badae zinakua nyingi 3.hua napg kila sample mzuri mbaya wote wangu 4.kwa ubongo movie tu sijambo naeza mugizia dem hadi akaamini mimi ni wake peke ake.haya na wewe tiririsha zako