Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]

-Ndumilakuwili-
Wema Sepenga akiona picha za wenzake wakiwa na vitumbo roho huwa inamuuma sana.

Na ukitaka kukwaruzana naye ongelea kuhusu suala hilo.
 
Huyu naye akatafute baba wa mtoto wake. Yaani anajipendekeza kwa Diamond mpaka basi. Yule Mange sijui Ana crush kwa Domo maana sio kwa wivu ule kwa Zari. Mmh wivu mbaya baada ya vacation in Mombasa watu hawalali
 
Mange ana details zote za mimba hii na yeye ndiye anaemfahamu biological father. Sijiu alifanya lini DNA test.
Yaani yule kijuba naona anakufa kwa wivu. Muongo kujifanya kujua maisha ya watu. Miaka ile alikuwa anasema Domo hatafika mbali hamna kitu huyo kaumbuka Domo akaja ku panda juu kupita mategemezi ya wengi hakashindwa hata kumsifia mtz mwenzie akishinda award sababu ya roho mbaya. Mange wivu unamsumbua anayamiss maisha ya Dubai, Kwa Trump sio pa kuchezea, you need to sweat for your success no blah blah
 
Na Lance anaenjoy na Mzimbabwe
 
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]

-Ndumilakuwili-
Moja Kwa moja mtoto wake akiwa wakike Basi naye atakua natabia yamama yake,, akiwa wakiume atalelewa kijinga sana ..kwaufupi akiwa wakiume alafu ukubwan kwake akawa na akili Atamlaumu sasa mama yake.....ndo maana kila siku nasema kuna wanawake wamezaliwa kuwa wake za watu nawengine wamezaliwa kuongeza idadi yawanawake duniani.
 
Mange ana details zote za mimba hii na yeye ndiye anaemfahamu biological father. Sijiu alifanya lini DNA test.
Kwa harmonize alisema mkamuona muongo leo yupo kweli na mzungu wake,,,

Kama dai anaenda kwa hamisa unadhani watu hawaonii
 
Umenichekesha

Eeeeh, anataka kumwangusha na kumuumiza kwa kutunga kila analoweza kujaribu. Long weekend ya Kenya imemkuna na haswa snapchat ya Zari akitokea Kenya kwenda SA.
Amuumize nini Mange yupo duniani kwenyewe aone wivu kwenda kemya hapo kwa wala vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…