Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Tangu lini? ?
Duh, ngoja nakuPm namba yake umuulize mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini? ?
Utakuwa humjui labda mwana mitindo wa instaDuh, ngoja nakuPm namba yake umuulize mwenyewe
Wema Sepenga akiona picha za wenzake wakiwa na vitumbo roho huwa inamuuma sana.Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]![]()
-Ndumilakuwili-
Yaani yule kijuba naona anakufa kwa wivu. Muongo kujifanya kujua maisha ya watu. Miaka ile alikuwa anasema Domo hatafika mbali hamna kitu huyo kaumbuka Domo akaja ku panda juu kupita mategemezi ya wengi hakashindwa hata kumsifia mtz mwenzie akishinda award sababu ya roho mbaya. Mange wivu unamsumbua anayamiss maisha ya Dubai, Kwa Trump sio pa kuchezea, you need to sweat for your success no blah blahMange ana details zote za mimba hii na yeye ndiye anaemfahamu biological father. Sijiu alifanya lini DNA test.
Na Lance anaenjoy na MzimbabweYaani yule kijuba naona anakufa kwa wivu. Muongo kujifanya kujua maisha ya watu. Miaka ile alikuwa anasema Domo hatafika mbali hamna kitu huyo kaumbuka Domo akaja ku panda juu kupita mategemezi ya wengi hakashindwa hata kumsifia mtz mwenzie akishinda award sababu ya roho mbaya. Mange wivu unamsumbua anayamiss maisha ya Dubai, Kwa Trump sio pa kuchezea, you need to sweat for your success no blah blah
Hivi wewe na miss natafuta ni me????[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kwanini wewe usiongeze mke mwingine!!! Ila pungua kwanza wanawake wanakukimbia unapanuka tu.
Anao wangapi?Binti anazaa ovyo bila ndoa, mpaka akifika umri wa uzee atakuwa na kundi kubwa la watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja Kwa moja mtoto wake akiwa wakike Basi naye atakua natabia yamama yake,, akiwa wakiume atalelewa kijinga sana ..kwaufupi akiwa wakiume alafu ukubwan kwake akawa na akili Atamlaumu sasa mama yake.....ndo maana kila siku nasema kuna wanawake wamezaliwa kuwa wake za watu nawengine wamezaliwa kuongeza idadi yawanawake duniani.Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]![]()
-Ndumilakuwili-
Kwani ya mondDiamond anajiandaa kuleta kitu kipya duniani...ukiwa na pesa unaijaza tu dunia..safi sana
Ameachika?Na Lance anaenjoy na Mzimbabwe
Kwa harmonize alisema mkamuona muongo leo yupo kweli na mzungu wake,,,Mange ana details zote za mimba hii na yeye ndiye anaemfahamu biological father. Sijiu alifanya lini DNA test.
Amuumize nini Mange yupo duniani kwenyewe aone wivu kwenda kemya hapo kwa wala vumbiUmenichekesha
Eeeeh, anataka kumwangusha na kumuumiza kwa kutunga kila analoweza kujaribu. Long weekend ya Kenya imemkuna na haswa snapchat ya Zari akitokea Kenya kwenda SA.
Tangu enzi za deep mawazoooooAmeachika?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tangu enzi za deep mawazooooo