Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

Wanajifanya kuwa mali ya umma.....kwa kweli kutojitambua kwa mademu wetu kunawapa tabu sana mpaka wanajidhalilisha. Huyu hapa akikatiwa mrija na basha lake lililomshibisha ugali, atakuja kujifanya kichaa na yeye kisha kwenda Clouds ama Radio 1 kuomba watanzania wamsaidie. Dada zetu mjitume, msicheze na maisha tu.
 
Naona watu humu wanatokwa mapovu tu wamesahau kabisa kwamba mavazi waliyokuwa wanavaa bibi zetu yalikuwa ni ya kufunika nyeti zao pekee.. Hiyo ndio ilikuwa asili ya mwafrika kabla mtu mweupe hajawaletea hayo manguo yao , sasa mtu unaposema hivo alivo vaa hamisa ni utumwa na wewe ulievaa nguo zao tukuiteje sasa, msipende kuhukumu utafikiri nyinyi ni wakamilifu sana... Mapovu ruksaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange anasemaje kuhusu hii picha kabla sijatoa neno?
 
Amuumize nini Mange yupo duniani kwenyewe aone wivu kwenda kemya hapo kwa wala vumbi

Umemjua leo juu ya Diamond na haswa Zari eeeeh... endeleeni kusoma udaku mnaopebda kuusoma. Hajaanza leo juu ya Zari.. kujaribu kila awezalo juu yake
 
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]

-Ndumilakuwili-



Hivi huyu changu hana washauri? Muda si mrefu tutasikia kajifanya chizi ili watanzania wamsaidie, ohoooooo.
 
Umemjua leo juu ya Diamond na haswa Zari eeeeh... endeleeni kusoma udaku mnaopebda kuusoma. Hajaanza leo juu ya Zari.. kujaribu kila awezalo juu yake
We humu kwa wadaku unatafuta nini,,ww mwenyewe unapenda kusoma udaku ndio maana unashinda humu
Nimekuambia hivi mange anaishi Us kuna raha zote huko awaonee wivu nini
Maana umesema wivu umemkaba kisa kwenda Kenya,mwenzio mange huenda las vegas huko raha utafananisha na Kenya
 
Amefanana na yule wa kuitwa Ruby. Ni ndugu?
 

Eeeeeh embu jipige vibao vya usoni ulale uote ukiamka na wewe uende huko USA ukaishi... yaani kuni quote kote ndio umekuja na ya majuu ha ha haaaaaa... ndio maana nakuambia tena wewe mgeni wa wale wafata mkumbo juu ya RC ndio mkaingia huko... sasa utajiju na fikra zako bado nakucheka reeeh eti ulaya... eeeeeeeh ulaya ha ha haaaaaa au niseme Marekani... haya endelea kumshangilia huyo wa Marekani ha ha haaaaaaa

U kitukoooooooo ha ha haaaaa, siku ukiwa unaenda huko majuu niambie humu nije nikuage maana utakula bata haswaaaaa eeeeeh

Mbavu zangu.. JF sipangiwi na mtu pa kuandika nipo kila kona eeeeeeh bado nakucheka ha ha haaaaa.. usisahau kunitaarifu nitoke huku bush nilipo nije nikupungie eeeeh

Ndio maana kusoma kitu sio kuelewa wewe unafikiria mahala tu ha ha ha

CIAO
 
Nabishana na shagingi kumbe,
Kajitawaze ulale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…