Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Ila mama yake hamisa lishangngi flan hivi na yale ma make up yake lo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhh, labda alishuhudia tukio la uumbaji!Mange ana details zote za mimba hii na yeye ndiye anaemfahamu biological father. Sijiu alifanya lini DNA test.
Amuumize nini Mange yupo duniani kwenyewe aone wivu kwenda kemya hapo kwa wala vumbi
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]![]()
-Ndumilakuwili-
We humu kwa wadaku unatafuta nini,,ww mwenyewe unapenda kusoma udaku ndio maana unashinda humuUmemjua leo juu ya Diamond na haswa Zari eeeeh... endeleeni kusoma udaku mnaopebda kuusoma. Hajaanza leo juu ya Zari.. kujaribu kila awezalo juu yake
We humu kwa wadaku unatafuta nini,,ww mwenyewe unapenda kusoma udaku ndio maana unashinda humu
Nimekuambia hivi mange anaishi Us kuna raha zote huko awaonee wivu nini
Maana umesema wivu umemkaba kisa kwenda Kenya,mwenzio mange huenda las vegas huko raha utafananisha na Kenya
Nabishana na shagingi kumbe,Eeeeeh embu jipige vibao vya usoni ulale uote ukiamka na wewe uende huko USA ukaishi... yaani kuni quote kote ndio umekuja na ya majuu ha ha haaaaaa... ndio maana nakuambia tena wewe mgeni wa wale wafata mkumbo juu ya RC ndio mkaingia huko... sasa utajiju na fikra zako bado nakucheka reeeh eti ulaya... eeeeeeeh ulaya ha ha haaaaaa au niseme Marekani... haya endelea kumshangilia huyo wa Marekani ha ha haaaaaaa
U kitukoooooooo ha ha haaaaa, siku ukiwa unaenda huko majuu niambie humu nije nikuage maana utakula bata haswaaaaa eeeeeh
Mbavu zangu.. JF sipangiwi na mtu pa kuandika nipo kila kona eeeeeeh bado nakucheka ha ha haaaaa.. usisahau kunitaarifu nitoke huku bush nilipo nije nikupungie eeeeh
Ndio maana kusoma kitu sio kuelewa wewe unafikiria mahala tu ha ha ha
CIAO
Aaaaa nin la kusema mie
BASI KAMA MANGE ALISHA LIONGELEA HILI JAMBO NI VYEMA TUKAFUNGA MJADALA....MANGE AMESHA SEMA ...Mange ana details zote za mimba hii na yeye ndiye anaemfahamu biological father. Sijiu alifanya lini DNA test.
Angemuacha bibi lazim angekuoa wewe mkuu.I wish domo ndo awe baba mtt lile libibi zari silipendi basi, sema sina undugu wwt na domo....angekuwa ndugu yng ningefanya kila liwezekanalo aliache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama Kenzo kicheko
Meona ehhh?...yaani hata haelewekagi huyu bidada!Nabishana na shagingi kumbe,
Kajitawaze ulale
Akizaa mtoto asiyetimia asimlaumu mtuKama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]![]()
![]()
-Ndumilakuwili-