Haya Sasa..!! Hili Nalo Ni Balaa Lingine La Wanawake..!!

Hapo simple tu ukiona ngoma ngumu inabidi umwambie gari lipo gereji linapigwa service achukue Taxi kwa gharama yoyote wewe utalipa "kumbe umeshajua taxi haitazidi buku5 nauli yake"..akisema kituo cha Taxi kiko mbali unamtumia Taxi ikamchukue hapo hapo nje kwao nauli haitazidi buku 10.
Mh!!!! Kujinyasi kote huko ilimradi tu ufanikishe uzinzi????? Mungu anawaona, sadaka kanisani hamtoi...... Jamaniiiiiiiiii[emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
Ona sasa ushakipaka asubuhi yote hii[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe ndiomaana skuizi kila nikizoza humu ndani nakataliwa aiseeee.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahhhh sio wote mbona mm bajaj na boda ndo usafiri wangu na daladala siku moja moja
Bila shaka umejionea tofauti kati ya wanaume wa Jf, na wavulana wa Jf.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mh!!!! Kujinyasi kote huko ilimradi tu ufanikishe uzinzi????? Mungu anawaona, sadaka kanisani hamtoi...... Jamaniiiiiiiiii[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Sadaka tunatoa.Usipotumia akili huwezi kumpata mwanamke labda iwe zali la mentali tu vinginevyo utaishia kula kwa macho tu. Akitumia akili unatumia akili akiwa wa mjini mjini unakuwa wa town town(si unajua town ni kubwa kuliko mjini)dawa ya moto ni moto.umenikumbusha kitu namba yako ya tigopesa ninayo ngoja nikutumie sadaka!!
 
Akisema hiyo come and pick me up then anakuja kwangu sawa.....ila ndo ukute anaenda kusalimia wajomba zake huko alafu anakuweka usubiri kama "masikini anayestahili kupendwa"....hata huyo masikini hatafurahi.
Unakuta unapunwa mapene yako kwa safari zake binafsi hahahah
 
Ona sasa ushakipaka asubuhi yote hii[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe ndiomaana skuizi kila nikizoza humu ndani nakataliwa aiseeee.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha.. Kwahiyo nimeua bendi sio?
 
Sadaka tunatoa.Usipotumia akili huwezi kumpata mwanamke labda iwe zali la mentali tu vinginevyo utaishia kula kwa macho tu. Akitumia akili unatumia akili akiwa wa mjini mjini unakuwa wa town town(si unajua town ni kubwa kuliko mjini)dawa ya moto ni moto.umenikumbusha kitu namba yako ya tigopesa ninayo ngoja nikutumie sadaka!!
Katoe kanisani kwako wewe.
Sasa si uje kuliko kufanya z*naa?
 
Back
Top Bottom