Haya Sasa..!! Hili Nalo Ni Balaa Lingine La Wanawake..!!

Haya Sasa..!! Hili Nalo Ni Balaa Lingine La Wanawake..!!

Katoe kanisani kwako wewe.
Sasa si uje kuliko kufanya z*naa?
Asante kwa neno kanisani muhimu.ila saa nyingine wanaume tunajishtukia imepita zaidi ya miezi kadhaa kukaribia mwaka hujananiliu ndo hapo ibilisi anatuhadaa kuzinaa sababu unajiuliza maswali mengi hayana majibu
 
'Can you come and Pick me Up?''
Hii ni sentensi yenye maana kubwa sana
anapokutumia Msichana wa Kimjini-Mjini ambae ndo
umeanza kumrushia punje za mchele adonoe ili aingie
Kingi awe mchuchu. Maana kuu ya Meseji hii: Anataka
kujua UTAKUJAJE KUMPICK...Mademu wa Mjini wanapenda magari asikwambie mtu, liwe na urithi au
umemtoa kafara mamako,maadam ana uhakika
akitoka ndani hatembei kwa mguu na kunuka jasho
kwa daladala basi asilimia 75 ushampata....Kimbembe
ni pale akikwambia Come and Pick Me up halafu
unamzukia kwao Yombo Dovya na Pikipiki ya TOYO...Amini Amini nakuambia,Umeshamkosa huyo
Sasa we jishaue Instagram pale unaposti uko Serena
mara Hyatt basi demu anajua YEESSS...Akisema Come
and Pick me Up we go somewhere for Dinner,unazuka
na Bajaj imeandikwa,
''Hata Maskini anastahili
kupendwa'', Next time ukimwambia can we go dinner utasikia tu, Am so tired leo I had lots of meetings...Sorry
cant make it nna assignment ya kutype...
Come and
Pick me Up inaweza ikakupa au kukukosesha
kabisaaaa, Uionapo Meseji hiyo jua ina maana kubwa
kuliko ufupi wake Shkamooni Wadada wa Mjini
wenye Alergy na Bajaj japo babako Mzazi Phonebook yake imejaa majina yao tu,Dula Bajaj...Bajaj
Sayansi...BajajTandika..Bajaj Mbovu...Bajaj
Side...Shkamooni tena.
Acheni kuchukuwa wanawake waliochoka mbaya jamani jamani. ...alafu mnatu judge kuwa wanawake wote tuko hivyo. ...OH HELL NO. ...wanawake wengi tena niseme MAJORITY wana uwezo wao wa kutosha kabisa na hawamtegemei mtu! Jamani jamani uwìiiiii. ...hayo mambo yamesha pitwa na wakati milele. ...
 
Yaani mnavyolalamika utafikiri huwa mnalazimishwa, kama hujiwezi kaa pembeni wenzio wajilie wewe utafute wa saiz yako, kizuri gharama
 
Hili nalo ni moja kati ya maajabu ya jf, eti kila mdada wa humu ndani anaishi Dar...[emoji2] [emoji2]
Kwahyo niseme uongo naishi mkoa na wkt nipo dar mm ktk maisha siwez kupretend
 
Acheni kuchukuwa wanawake waliochoka mbaya jamani jamani. ...alafu mnatu judge kuwa wanawake wote tuko hivyo. ...OH HELL NO. ...wanawake wengi tena niseme MAJORITY wana uwezo wao wa kutosha kabisa na hawamtegemei mtu! Jamani jamani uwìiiiii. ...hayo mambo yamesha pitwa na wakati milele. ...
Kumbe wewe ni Mwanamke?????????
 
Yaani mnavyolalamika utafikiri huwa mnalazimishwa, kama hujiwezi kaa pembeni wenzio wajilie wewe utafute wa saiz yako, kizuri gharama
Mnatulazimisha ndio, kwani uongo?
 
Acheni kuchukuwa wanawake waliochoka mbaya jamani jamani. ...alafu mnatu judge kuwa wanawake wote tuko hivyo. ...OH HELL NO. ...wanawake wengi tena niseme MAJORITY wana uwezo wao wa kutosha kabisa na hawamtegemei mtu! Jamani jamani uwìiiiii. ...hayo mambo yamesha pitwa na wakati milele. ...
Alafu wanawake hamutabiriki, hao mambo safi ndio utakuta wanapiga vizinga vile O.G
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ata Masikini anastahili kupendwa
Nyingine hiyo [emoji3] [emoji3] [emoji3]
1473751592338.jpg
 
Alafu wanawake hamutabiriki, hao mambo safi ndio utakuta wanapiga vizinga vile O.G
Ni wewe mwenyewe ndiyo una attract hiyo design ya wanawake. ....ondoa uwoga utampata MWANAMKE ALIYE KUCHA ..yaani full package. ..good luck my friend
 
As usual
STUNTER na wanawake
Mi nitaendelea kukwambia tu Mungu anakuona
 
Hivi wanaume wa humu jf hakuna siku mmekutana na mema ya wanawake mje kusifia?Kila siku mtu unalalamika tu jamani kama wanawake wanakusumbua achaneni nao mfanye mambo mengine
Ni kama mpambano tu JF wanawake wenyewe wanaponda mwanzo mwisho.bora hivi angalau kunakuwa na uwiano
 
Back
Top Bottom