Mh!!!! Kujinyasi kote huko ilimradi tu ufanikishe uzinzi????? Mungu anawaona, sadaka kanisani hamtoi...... Jamaniiiiiiiiii[emoji22] [emoji22] [emoji22]Hapo simple tu ukiona ngoma ngumu inabidi umwambie gari lipo gereji linapigwa service achukue Taxi kwa gharama yoyote wewe utalipa "kumbe umeshajua taxi haitazidi buku5 nauli yake"..akisema kituo cha Taxi kiko mbali unamtumia Taxi ikamchukue hapo hapo nje kwao nauli haitazidi buku 10.
Bila shaka umejionea tofauti kati ya wanaume wa Jf, na wavulana wa Jf.Hahahhhh sio wote mbona mm bajaj na boda ndo usafiri wangu na daladala siku moja moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nawasubiri nikiwa ndani ya Handaki
Hahahhh nimejionea kwakweliBila shaka umejionea tofauti kati ya wanaume wa Jf, na wavulana wa Jf.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kweli daladala napanda sana safari ya mbali kama mbagala lazma tu nilipandeMmmmh.... Hapo unasema tu
Sadaka tunatoa.Usipotumia akili huwezi kumpata mwanamke labda iwe zali la mentali tu vinginevyo utaishia kula kwa macho tu. Akitumia akili unatumia akili akiwa wa mjini mjini unakuwa wa town town(si unajua town ni kubwa kuliko mjini)dawa ya moto ni moto.umenikumbusha kitu namba yako ya tigopesa ninayo ngoja nikutumie sadaka!!Mh!!!! Kujinyasi kote huko ilimradi tu ufanikishe uzinzi????? Mungu anawaona, sadaka kanisani hamtoi...... Jamaniiiiiiiiii[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Umeanza lini kuwa hivo!!?Hahahhhh sio wote mbona mm bajaj na boda ndo usafiri wangu na daladala siku moja moja
Mm kila siku nipo hivyoUmeanza lini kuwa hivo!!?
Unakuta unapunwa mapene yako kwa safari zake binafsi hahahahAkisema hiyo come and pick me up then anakuja kwangu sawa.....ila ndo ukute anaenda kusalimia wajomba zake huko alafu anakuweka usubiri kama "masikini anayestahili kupendwa"....hata huyo masikini hatafurahi.
Haha!Mm kila siku nipo hivyo
Katoe kanisani kwako wewe.Sadaka tunatoa.Usipotumia akili huwezi kumpata mwanamke labda iwe zali la mentali tu vinginevyo utaishia kula kwa macho tu. Akitumia akili unatumia akili akiwa wa mjini mjini unakuwa wa town town(si unajua town ni kubwa kuliko mjini)dawa ya moto ni moto.umenikumbusha kitu namba yako ya tigopesa ninayo ngoja nikutumie sadaka!!
Zaidi ya wife materialUnataka kusema wewe ni Wife material?? Hehehe