Dah ndio shida ya kuwa na watu wanaotumia makalio kufikiria, hivi katika zile sifa za money wao wameangalia durability tu? Huku ni kupeana mizigo isiyokuwa na msingi mifukoni
Thamani ya pesa tanzania inazidi kuporomoka sii muda mrefubBOT watatoa sarafu ya sh 10000
Abari OkhayaMwaka kesho Noti ya 1000 itakuwa tayari..